Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅Yeye anapaswa kwend kwa wataalamu wa dna apew maelekezo ya kubeba sample rahisi kam
Mate
Nywele
Majimaji yoyote ya mtoto
Apelek huko Kapme
Then mtoto awe wake au si wake inabd tuu afukuze tuu huyo.mwanamke
Mwonyeshe huu uzi mwezio kama itawezekana.
😅😅😅Ndo maana nimemwambia wapime vituo tofauti tofauti.
Ili kuwepa hilo.
Hata vituo 5 pima tuu.
Ikiwezekana toa na pesa kwa pembeni wakupe Majibu sahihi.
Nadhani yupo humu. Jamaa tumeshibana sanaMwonyeshe huu uzi mwezio kama itawezekana.
Usisahau mrejeshoNadhani yupo humu. Jamaa tumeshibana sana
SawaUsisahau mrejesho
MrejeshoWakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.
Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa karibu sana ukizingatia yeye jamaa alinisaidi sana kusoma enzi hizo kipesa na kimawazo basi tulimfanyia Tafrija ndogo ya kupata mtoto.
Siku chache baadae furaha ya jamaa iliingia shubiri kila alipokuwa akifatilia ukuaji wa mtoto.
Yaani mtoto amekuwa na sura na mwonekano tofauti na Baba na Mama yake.
Yaani Mshikaji ni Mweusi na Mke wake maji ya kunde lakini Mtoto ni Mweupe.
Kwa sayansi ndogo tuliyo nayo kama baba mweusi na Mama maji ya kunde sio rahisi kupata mtoto mweupe. Pengine angepata rangi ya kunde kama Mama yake au Mweusi kabisa kama Baba yake.
lakini Baba ni msomi hawezi kufanya maamuzu based on just feelings. Ameamua kushauriana na mkewe kuwa wakampime DNSA maana jamaa roho inakataa kumpenda mwanaye kati kati ya mashaka.
Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.
Ana dai kama hamwamini mke wake basi bora waaachane.
Mimi na Braza tume baki mdomo wazi juu ya msimamo wa Mwanamama huyu.
Tulitegemea angekubali ili kumwondolea hofu mumewe na upendo uzidi kutamalaki. Hali imekuwa tofauti.