Shemeji Yangu Anakiburi Kisicho Namaana

Shemeji Yangu Anakiburi Kisicho Namaana

Mkuu nadhani huna mdogo wako wakike au hayaja kukuta Mzee

Ndio maana unaongea sheets tu

Now dada yangu akijiua Mimi ndie nauchungu nasie huyu mjinga

Yeye atalia kinafiki kisha ataoa mke mwingine

Nikiwa tayari Mimi napengo la kumpoteza nimpendae
Nadhani siyo sheets ni shit au mavi kwa kiswahili. Dada zangu wameolewa na wana watoto. Naomba nikusaidie, mtu anayemuoa dada yako lazima umheshimu. Sikubaliani na kunyanyasa mwanamke ila ndugu kuingilia mahusiano ya wawili nikosa kubwa sana. Huwajui wanawake kua uyaone, hapo ndipo utajua kuwa wewe ndiye uliyekuwa unaandika shit. pole ila ya ngoswe muachie ngoswe, hujaoa achana na waliooa
 
Mwambie huyo shemeji Yako haoni watu wenye pesa na wadhifa kama Mbowe wanabembeleza Yeye anapiga..
 
Nadhani siyo sheets ni shit au mavi kwa kiswahili. Dada zangu wameolewa na wana watoto. Naomba nikusaidie, mtu anayemuoa dada yako lazima umheshimu. Sikubaliani na kunyanyasa mwanamke ila ndugu kuingilia mahusiano ya wawili nikosa kubwa sana. Huwajui wanawake kua uyaone, hapo ndipo utajua kuwa wewe ndiye uliyekuwa unaandika shit. pole ila ya ngoswe muachie ngoswe, hujaoa achana na waliooa
Huwenda unao Lakini huwajali
Na hujui umuhimu wao

Hatua zamtu kutoweka bila kupatikana katika simu nakutojua wapi alipo Sihatua nzuri hata kidogo

Kama umemchoka mtu mlete kwao fata Yako
 
mashemeji mda mwingine ni wa kupiga vitasa tu
 
Acha tu Mkuu nimemlea Dada Yangu kwa kharama nimesomesha kwa kharama nimejinyima vingi

Leo hii jitu moja linakuja kuniharibia furaha Yangu
Nikwamba tu wanawake nao sio watu wakuwaamini kabisa

Lakini niliwaza kumpoteza huyu jamaa
Aliolewa bikra kumbe,bado ana mapenzi ya kitoto wewe vumilia akikimbia mara 2,3 akili zitajirudi atatulia
Unaposema uliwaza kumpoteza inadhihirisha familia yenu ina roho mbaya(hata km dada anauma)na jamaa alishawasoma sasa anataka ajitoe huko
 
Umenikumbusha mbali mkuu kuna limsela lilikua linamsalandia maza kweli lilimpata sasa ikawa too much linakuja hadi homu bro akasema upumbavu huu akanagiza fimbo asee tulimkunguta fimbo maza anajitia kuingilia nae kaunganishwa DINGI aliuvuta bado maza kiumbo km binti ivi
 
Kuna rafiki yangu dada yao alipata matatizo kama hayo na alikuwa anakula vitasa si vya kitoto, siku moja anakwenda kumsalimia sister anamkuta na sun glasses kumbe macho yamevilia damu hataki aonekane. Ndugu waliamua kumtafutia nyumba ahame, walipata nyumba Kinondoni walilipa pango la mwaka. Dada alikuwa na kibarua chake, shost ananiambia baada ya miezi sita wanamuona dada na mimba kama ya miezi mitatu hivi, kumbe wameongea na shemeji na wameyamaliza na alikuwa anakwenda Kino kupiga mbonji. Ongeeni na dada yenu mjue anataka nini kwanza.
Amjielewi wadada mtapigwa tu hadi nimeshikwa na hasira
 
Aliolewa bikra kumbe,bado ana mapenzi ya kitoto wewe vumilia akikimbia mara 2,3 akili zitajirudi atatulia
Unaposema uliwaza kumpoteza inadhihirisha familia yenu ina roho mbaya(hata km dada anauma)na jamaa alishawasoma sasa anataka ajitoe huko
Mkuu hujui Yalio pita hadi sisi kufikia hatua hii jaribu kutulia tu

Sister alikuja home na aligoma kabisaa kurudi lakini tuli lazimisha ili kutunza ndoa na kueshimu ndoa pia

So Jaribu Kujivisha tu tukio kama hili lingekuwa kwako

Ungejisikia vp
 
Umenikumbusha mbali mkuu kuna limsela lilikua linamsalandia maza kweli lilimpata sasa ikawa too much linakuja hadi homu bro akasema upumbavu huu akanagiza fimbo asee tulimkunguta fimbo maza anajitia kuingilia nae kaunganishwa DINGI aliuvuta bado maza kiumbo km binti ivi
Tatizo watu huwa wanapenda kuchulia mambo simple tuu ila yakiwakuta
 
Ningekuwa Mimi ningemshauri dada aachane nae tu maana atamuua kwa magonjwa au kipigo raha jipe mwenyewe .

Nakumbuka ile story ya Mdada aliyepigwa hadi mimba ikatoka then wakamsafisha vibaya kizaI kikaoza wakatoa akabakia tasa kisa kung'ang'ania mume .

Nimepandwa na hasira kama dadangu vile upigwe bado umng'ang'anie mtu looooh
 
Achatu Mkuu inauma sanaa

Alafu unatumia busara Kwa mtu bado anatumia uzaifu wa bususara zako kujikweza
 
Huwenda unao Lakini huwajali
Na hujui umuhimu wao

Hatua zamtu kutoweka bila kupatikana katika simu nakutojua wapi alipo Sihatua nzuri hata kidogo

Kama umemchoka mtu mlete kwao fata Yako
Nadhani dada yako anakujua nyumbani kwenu hivyo ana uwezo wa kuja kwa miguu yake na wala si kuletwa kama mtoto mdogo. Tuliza mukari tukuelimishe hata sisi tukiwa kama wewe tulikuwa hivyo. Ila wakati ule JF haikuwepo.
Umenena:
S
..........
Alimuoa dada Akiwa mpole sanaa Na mcha,mungu. Lakini kila alipo kaaa ktk
Ndoa Amekuwa mtu wa kiburi na dhihaka. Anaweza kurudi Nyumbani

Angali amelewa chakari Nakufanya vituko vyaajabu Anatoka na Vimada
Wanje .....
Inaonyesha Shemeji yako anampenda sana dada yako. Ila dada yako anambania K. Ulishabaniwa K ukaona dunia haina maana? Uliza uambiwe usipokuwa na roho ya chuma unaweza mpiga mwanamke. Mara nyingi tunasema michepuko ni balance ya ndoa katika suala la kila siku nimechoka. Ngoja niishie hapo maana huwezi nielewa. Usiku mwema endelea na mipango yako ya kudunda shemeji yako ila kumbuka segerea kama alivyofanya Marato George Marato awekwa chini ya ulinzi
 
Tatizo watu huwa wanapenda kuchulia mambo simple tuu ila yakiwakuta
Mkuu hii kitu inauma me nakushauri tu mlie tyming msela we pigaa tu najua ccter nae akijua hatakuja juu nae pgaa mana ukimwacha ndo matatzo yatazd
 
Mkuu hujui Yalio pita hadi sisi kufikia hatua hii jaribu kutulia tu

Sister alikuja home na aligoma kabisaa kurudi lakini tuli lazimisha ili kutunza ndoa na kueshimu ndoa pia

So Jaribu Kujivisha tu tukio kama hili lingekuwa kwako

Ungejisikia vp
Mkuu umeoa kweli?
Hayo ya kupigana ni kitu kingine na hicho unachotaka kufanya ni kitu kingine
Mtu aliyeoa dada ako ni wa kuheshimiwa haijalishi yupoje
Kaa chini subiri ukue haya utayaona
 
Poleni sana...

Mapenzi ni kitendawili sana... Unaweza ona dada yenu anateseka mkamuonea huruma ila mwisho wa siku mwenzeni akarudi huko huko...

Inatakiwa kumkalisha dada yenu chini na kuongea nae, msimamo wake upo wapi...

Cc: mahondaw
 
Umenikumbusha mbali mkuu kuna limsela lilikua linamsalandia maza kweli lilimpata sasa ikawa too much linakuja hadi homu bro akasema upumbavu huu akanagiza fimbo asee tulimkunguta fimbo maza anajitia kuingilia nae kaunganishwa DINGI aliuvuta bado maza kiumbo km binti ivi
Hjaahahja nimecheka sana VP akumuow mama? Maana nawaza kama now ndo baba enu wa kufikia anawaeshimu atar
 
Mkuu umeoa kweli?
Hayo ya kupigana ni kitu kingine na hicho unachotaka kufanya ni kitu kingine
Mtu aliyeoa dada ako ni wa kuheshimiwa haijalishi yupoje
Kaa chini subiri ukue haya utayaona
Mkuu Mimi sijaoa Lakini Nimetumia Sanaa busara nimara kadhaa jamaa amekuwa akifanya umalaya tena hadharani bila kificho
Sister anavumilia awamu ya kwanza

Alichoka nakuja home Tukamrudisha haraka awamu ya pili kaja tena akiwa kadhoofu mwili kwa mawazo

Akionesha anapitia wakati mgumu
Tulimuita mshkaji na kumsihi waishi kwa amani kama sister anatatizo kuna ndugu wakaribu nawao aende waka yaongee

Ikaisha hii ni mara ya saba sasa au nane bado mshkaji anazingua inaonesha kaona upole na unyenyekevu wetu silolote

Kama yeye hana heshima sisi tumuheshim kwalipi

Nahata sasa sister kasepa kusiko julikana maana kaona kila akija home tuna msihi tunamrudisha

is too much Boss
 
Back
Top Bottom