Shemeji Yangu Anakiburi Kisicho Namaana

Shemeji Yangu Anakiburi Kisicho Namaana

Kuna rafiki yangu dada yao alipata matatizo kama hayo na alikuwa anakula vitasa si vya kitoto, siku moja anakwenda kumsalimia sister anamkuta na sun glasses kumbe macho yamevilia damu hataki aonekane. Ndugu waliamua kumtafutia nyumba ahame, walipata nyumba Kinondoni walilipa pango la mwaka. Dada alikuwa na kibarua chake, shost ananiambia baada ya miezi sita wanamuona dada na mimba kama ya miezi mitatu hivi, kumbe wameongea na shemeji na wameyamaliza na alikuwa anakwenda Kino kupiga mbonji. Ongeeni na dada yenu mjue anataka nini kwanza.
Kweli mambo ya mapenzi hayaingiliwi..
 
Wewe itakuwa unatusikia ila hutujui vizuri...lakini pia shukuru MUNGU hukapata mashemeji type yetu....

naomba nije pm nikupe namba ya huyo shemeji yetu kisha mpigie umuulize eti blaza vip mashemeji zako unawaelezeaje kwa sentenso moja tuu jibu atalokupatia ni sahihi na kama mtihani utafaulu kwa alama za juu sana.

dada mwenyewe mmoja kama moyo au kiungo cha uzazi cha kiume kisha shemeji alete za kumpigapiga mara manyanyaso akimuua sie wanetu wamuite nani shangazi. ...

usilete masihara shemeji...tunaweza kukubeba tukapotelea msitu wa mabwepande familia na serikali vikaingia gharama za kututafuta wote kwa pamoja.
Anawachekea huyo.nimuoe Dada yenu halafu mniletee mdomo.nawachanganya pumbavu zenu
 
Mambo ya ndoa ni mazito makubwa kuliko mnavochukulia simpo

Walioko ndani wenyewe wanajuana. Smart911 love Kila ndoa ina maswaibu yake .

Ni kweli kabisa mahondaw wangu... kuanzia mapenzi, mpaka ndoa kuna changamoto nyingi sana... waliyokuwa nje hawawezi jua kinachoendelea ndani...
 
Dada ndo kapenda asingependa angeshafanya maamuzi.... We kuwa mpole tu
 
We jamaa inaonekana una wivu sana na dada ako kwanza we hujaoa alafu u ataka kusuluhisha ndoa za watu uo ujuzi umeupata wapi.
Shemeji yako na dada ako wanapendana sana tu sema wakati mwingine shetani lazima apite.

Hebu oa kwanza
 
Back
Top Bottom