Shemeji Yangu Anakiburi Kisicho Namaana

Kweli mambo ya mapenzi hayaingiliwi..
 
Anawachekea huyo.nimuoe Dada yenu halafu mniletee mdomo.nawachanganya pumbavu zenu
 
Mambo ya ndoa ni mazito makubwa kuliko mnavochukulia simpo

Walioko ndani wenyewe wanajuana. Smart911 love Kila ndoa ina maswaibu yake .

Ni kweli kabisa mahondaw wangu... kuanzia mapenzi, mpaka ndoa kuna changamoto nyingi sana... waliyokuwa nje hawawezi jua kinachoendelea ndani...
 
Dada ndo kapenda asingependa angeshafanya maamuzi.... We kuwa mpole tu
 
We jamaa inaonekana una wivu sana na dada ako kwanza we hujaoa alafu u ataka kusuluhisha ndoa za watu uo ujuzi umeupata wapi.
Shemeji yako na dada ako wanapendana sana tu sema wakati mwingine shetani lazima apite.

Hebu oa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…