Shemeji yangu ananilaumu sana kwenda kwake na Mchepuko Wangu

Ila wewe una hekaheka jamani!!Mara umewabeba,mara umedeki matapishi,Mara umekimbia buchani kununua nyama,Mara umeondoka Mara dukani hakukaliki umerudi kuwaangalia!DuhhhπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Siredi imekuw ndefu sana...

Naomba summary kwa aliye soma
 
Aisee iyo story ya lutu sijawai ielewa kabisa,
Hivi mungu alimpa adhabu gani kwa kosa Lile la kulala na binti zake[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
majaribu ni mtaji na mtaji ni kuchakata,

binadamu hakuumbwa na nguo,yupo sahihi


basi ungempitishia hata shoti ya kidole,yaan shaaaaaaa kutoka chini kupanda juu.



Somo:ukiwa na pesa/vijipesa mbususu muda ote inakuwa mshikaji wako.YES
 
Aisee iyo story ya lutu sijawai ielewa kabisa,
Hivi mungu alimpa adhabu gani kwa kosa Lile la kulala na binti zake[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Alimsamehe tu ili aendeleze kizazi mungu hawezi kukuchoma moto kisa unasex ni sawa na unafuga kuku unamuona jogoo moja anatembea na kuku jike 10 hapo si utamsifia yule jogoo hivyo ukiweza kuwapata wanawake wengi we piga tu ili mradi uweze kuwahudumia au ukatongoza mwanamke akakubali mwenyewe wee piga hakuna kuzini hapo si amekubali mwenyewe
 
Shukran[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mke wako anakazi ya ziada

kutwa kucha upo kwa mchepuko,, muda wa kuwa na mke wako ni upi?? na watoto je?

au ndo yale maisha ya ilimradi siku hazigandi
 
Ndoa yako inavunjika in less than 5 yrs mshkaji wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…