Chamkoroma
Senior Member
- Sep 6, 2010
- 186
- 11
Ha ha ha ha nimecheka sana kwa hio kumbe haya matatizo yanarithiwa from generation to the next. Inabidi ufunge 40 days like Jesus kwa break through
Jamani hakuna kichaa hata mmoja anaependa kutembea uchi barabarani, na hakuna mwanaume hata mmoja anaependa kuhemewa la kwa kuwa mgonjwa wa akili kama kichaa, ss, ukiweka mbuzi na chui chumba kimoja unadhani itakuwaje? hata ww hutalala kwa usalama, utakuwa ukitoka nakusikiliza, soln mtafutie guest house, akifanywa huko si lako, lkn akija asikae siku tele arudi au aendelee nasafari yk, wanao wate wasijuwe na km wanajua ww usiliongelee jambo hil kwa ni ugonjwa wa akili, hapendi bali akili imevurugikiwa.
ndg mwambie mkeo amshawishi asije kabisa ili kuondoa utata maana itakuwa balaaHabari za weekend waheshimiwa? Ni hivi nina shemeji yangu (mdogo wa kiume)kwa my wife wangu ambaye c rizki watu wanamuhemea mgongoni/gay ambaye anataka kuja kunitembelea ckukuu ya pasaka,binafsi kichwa knauma. je? Gay huyu alale chumba cha mtoto wangu wa kike au wa kiume.
Unyanyapaa? kumkaribisha mtu wa hivyo ni sawa na kumruhusu mlevi akanya kwenye sahani yako ya pilau.
The first reaction is the correct one. Ningekuwa mimi, hata wazo la kuja kwangu asingekuwa nalo, maana nimgeshamwambia msimamo wangu.
Mkuu huu usumbufu wote wa kukodi guest house, asiongee na wapwa zake, logistics zote hizo zina direct and indirect cost, the very needful solution ni bwabwa kutofika nyumbani basi.
Utingo nimecheka mpaka watu wananishangaa hapa lol Jf inafunza na kuburudisha pia
icho anachokifanya tu ni ugonjwa tayar
sokuataman ndg pia si shda kwake
pls asilale na mtoto wa kiume..anaweza ata akamwomba amkwee na ivyo kuleta pcha /mbegu mbya kwa mtoto
atafutiwe chumba chake na uwe makin na watoto wako
Mods kitufe cha thanks tafadhali mbona mwatufanyia hivi?
Maty say thank you Utingo for this uzifulu post lol
Yaani huyu hafai hata kuongea na watoto mchana, mtanisamehe sio unyanyapaa ila hata kwa Mungu ni dhambi kubwa sana anayofanya, inahitaji ujichetue hasa ndio maana wenye tabia za hivyo ni wachache sana
Nadhani mtoa mada amesema huyo mgeni yeye ndiye anapumuliwa mgogoni, kwa hiyo sidhani hata kama hiyo kitu yake inafanya kazi.
Shemeji alale chumba cha watoto pekee yake, watoto wahamishwe
Mtoto wa kike alale na Mama na wa kiume alale na Baba
Ila mgeni mpe heshima yake and give him children room, lakini be careful whenevr he is with your kids....Maana Magays wanaweza kumrukia mtu yeyote anytime.... be alert all the time
Dada yake anaforce lazima my young brother wake huyo aje kuyaona makazi yetu mapyaKwani lazima aje kwako? mwambie usije kwangu kwakuwa wewe ni bwabwa.
Shemeji alale chumba cha watoto pekee yake, watoto wahamishwe
Mtoto wa kike alale na Mama na wa kiume alale na Baba
Ila mgeni mpe heshima yake and give him children room, lakini be careful whenevr he is with your kids....Maana Magays wanaweza kumrukia mtu yeyote anytime.... be alert all the time
Umeona eh!ukali huu nahisi mgeni mwenyewe ndio huyu:A S 465:
mods kitufe cha thanks tafadhali mbona mwatufanyia hivi?
maty say thank you utingo for this uzifulu post lol
yaani huyu hafai hata kuongea na watoto mchana, mtanisamehe sio unyanyapaa ila hata kwa mungu ni dhambi kubwa sana anayofanya, inahitaji ujichetue hasa ndio maana wenye tabia za hivyo ni wachache sana
umeooona eeeeh ila huyu anaonekana ana mapepo makali lazima siku 60 40 yanaweza kukurudia wewe aijalishi una umri gan ujaona watu wanafika 65 wanataka kuonjwa haya maroho yanaongea yansikia sio kucheza nayo kabisa....ha ha ha ha nimecheka sana kwa hio kumbe haya matatizo yanarithiwa from generation to the next. Inabidi ufunge 40 days like jesus kwa break through
Dada yake anaforce lazima my young brother wake huyo aje kuyaona makazi yetu mapya
Hajifichi kuwa yeye ni kipikipiki ni muwazi zaidi na anaona raha kuwa hivyo,mashoga huku wana uhuru na ni rukhsa kuoanaWashawasha,
Hivi ulijuaje kuwa shemeji yako ni gay?