Chamkoroma
Senior Member
- Sep 6, 2010
- 186
- 11
Jamani hakuna kichaa hata mmoja anaependa kutembea uchi barabarani, na hakuna mwanaume hata mmoja anaependa kuhemewa la kwa kuwa mgonjwa wa akili kama kichaa, ss, ukiweka mbuzi na chui chumba kimoja unadhani itakuwaje? hata ww hutalala kwa usalama, utakuwa ukitoka nakusikiliza, soln mtafutie guest house, akifanywa huko si lako, lkn akija asikae siku tele arudi au aendelee nasafari yk, wanao wate wasijuwe na km wanajua ww usiliongelee jambo hil kwa ni ugonjwa wa akili, hapendi bali akili imevurugikiwa.