Shemeji yangu gay, alale na nani?

Shemeji yangu gay, alale na nani?

[/B][/COLOR][/SIZE]

Sasa kwa nini ukae kwako, kwa nyumba yako mwenyewe na wasi wasi? maana hata ukitoka itakua ni kazi ya kupiga simu home jamani huyo mgeni yupo? anafanya nini? watoto wako wapi? ni bora asije kabisa hapo nyumbani. Watu wa hivi ni kuwanyanyapaa tu ili wajue hiyo tabia wafanyayo si nzuri pengine wanaweza kujirekebisha, na kama hawezi kujirekebisha aende kwenye jamii yenye matendo kama yake akakae huko mpaka kifo kiwatenganishe.
kuna post nazani mleta mada amegusia kwamba sio bongo hii ishu, sasa kuna baadhi ya nchi za ughaibuni ukilinyanyapaa bwabwa na likiripoti basi imekula kwako. Huyu mleta mada anaweza akarejeshwa kwao na nguo yake aliovaa tu, Halaf hata JF tusimuone tena, wee unazani akishakurejeshwa bongo hela ya cafe atatoa wapi?
 
wewe kama unauhakika kweli shemejio ni gay, then tumia uanaume wako, just act like a man bana. Mwambie tabia za nduguye na kwamba hizo zilivyo mbaya unamweleza na madhara yake kwa ufasaha, mwisho unahitimisha kwa kusema kwamba mimi kama baba wa nyumba nimesema marufuku huyo nduguyo kuja kwangu ni aibu kwangu, watoto na majirani. Lazima ifike kipindi baba uwe na maamuzi ambayo kila aliye hapo kwako anayafuata sasa kama hakuna bosi ndani ya nyumba si kila mtu atajiamulia atakavyo.

Ila uwe na uhakika kwamba huyo shemejio ni gay na hata dada yake anatambua hilo kila la kheri

mungu ibariki jf wabariki wanandoa wakeeeeeeeee heshima umoja na amani hiyaaaa ni majaribuuuuuuuuuuuu tubarikiiiiiiii tanzania tubariki watoootooo wa jf
 
angekuwa mwanao ungemwambia asifike nyumbani???tutatue tatizo mwenzenu kafikwa jamani mnaona anatania lakni ndoa iko kwenye mtihan

Mimi ndio huwa napingana sana na watu, kwa sababu ni mwanao eti hata akiwa na tabia mbaya unaona sawa tu cause ni mwanao? huko sio kumpenda bali kumpotosha. Lazima mumuonyeshe kwamba tabia yake si nzuri na haikubaliki kwa Mungu na katika jamii nzima. Kama anataka kushirikiana nanyi basi aache hiyo tabia.

Mimi nina binti mmoja tu, na sijui kama nitakuja pata mtoto mwingine ila kwenye masuala ya malezi niko makini sana sijali eti kwa sababu yuko pekee basi kila afanyacho ni sawa, akikosea namuadabisha vizuri tu bila kujali yuko pekee au la, kifupi sina mchezo kabisa. Huwa anashangaa sometimes ila nadhani akija kua mkubwa ndio ataelewa nilikuwa namaanisha nini.
 
kuna post nazani mleta mada amegusia kwamba sio bongo hii ishu, sasa kuna baadhi ya nchi za ughaibuni ukilinyanyapaa bwabwa na likiripoti basi imekula kwako. Huyu mleta mada anaweza akarejeshwa kwao na nguo yake aliovaa tu, halaf hata jf tusimuone tena, wee unazani akishakurejeshwa bongo hela ya cafe atatoa wapi?

klorokwin watake radhi watanzania kabla ya hukumu yapasaka aijakuvamia
 
Dada yake anaforce lazima my young brother wake huyo aje kuyaona makazi yetu mapya

du,
1-watch inawezekana umeoa ukoo uliona tatizo/laana hilo
2-mkeo hawezi kuforce katika situation inayoweza kuharibu moral standard ya familia yako kiasi hiki. Be a man, tell her to shut up. Is she a Les...in the dark?
 
Duuuuhhh mmenikumbusha kweli kuna lijamaa limoja pale magomeni yaani lenyewe limeshawatambalia mabwabwa wote wenye hela tena na vyeo vyao anywa sheria inanilinda ila jamaa alivyo hata akiingia chooni asikii harufu ya mavi ashaizoe lann hizi za kuomba mungu atuepushe mbali kabisaaaaaaaaaa
 
simple solution...usiruhusu akaja kuwatembelea, mwambie ukweli kuwa kutokana na tabia yake ya u-gay, hupendi aje nyumbani isije ikaleta madhara ya kiakili na kisaikolojia sikwa watoto, wewe mwenyewe bali hata kwa majirani na watu mnaoheshimiana nao. Imagine rafiki zako wakijua pasaka hii mnakula meza moja na shoga? hapo kwako watakuja?
Hakuna shaka ngoja nimpe kubwa tu ili asije
 
kuna post nazani mleta mada amegusia kwamba sio bongo hii ishu, sasa kuna baadhi ya nchi za ughaibuni ukilinyanyapaa bwabwa na likiripoti basi imekula kwako. Huyu mleta mada anaweza akarejeshwa kwao na nguo yake aliovaa tu, Halaf hata JF tusimuone tena, wee unazani akishakurejeshwa bongo hela ya cafe atatoa wapi?[/QUOTE]

Haahahaha lol, asee kama ni hivi kweli bana. Na kama mkewe ndio provider wa kila kitu ye mwenzangu na mimi tu kazi ipo
 
Hajifichi kuwa yeye ni kipikipiki ni muwazi zaidi na anaona raha kuwa hivyo,mashoga huku wana uhuru na ni rukhsa kuoana

mkuu...pamoja na kuwa huko uliko hayo mambo yako. Mwambie wazi mkeo kuwa lazima aheshimu cultural background yako, she is your wife lazima akubali kumeza culture yako, hakuna cha pikipiki wala baiskeli.
 
Wewe kama unauhakika kweli shemejio ni gay, then tumia uanaume wako, just act like a man bana. mwambie tabia za nduguye na kwamba hizo zilivyo mbaya unamweleza na madhara yake kwa ufasaha, mwisho unahitimisha kwa kusema kwamba mimi kama baba wa nyumba nimesema marufuku huyo nduguyo kuja kwangu ni aibu kwangu, watoto na majirani. Lazima ifike kipindi baba uwe na maamuzi ambayo kila aliye hapo kwako anayafuata sasa kama hakuna bosi ndani ya nyumba si kila mtu atajiamulia atakavyo.

Ila uwe na uhakika kwamba huyo shemejio ni gay na hata dada yake anatambua hilo kila la kheri
Uhakika ninao kama shemu wangu ni kipikipiki,nauchukua ushauri huu kwa kuact kama boss wa hii nyumba na kumpiga BAN for life.huyu bwabwa.
 
mkuu...pamoja na kuwa huko uliko hayo mambo yako. Mwambie wazi mkeo kuwa lazima aheshimu cultural background yako, she is your wife lazima akubali kumeza culture yako, hakuna cha pikipiki wala baiskeli.
Well said mkuu,nampiga BAN huyu shoga
 
Muulizeni Rev. Masanilo awape ushauri wa kumsaidia kijana
 
kuna post nazani mleta mada amegusia kwamba sio bongo hii ishu, sasa kuna baadhi ya nchi za ughaibuni ukilinyanyapaa bwabwa na likiripoti basi imekula kwako. Huyu mleta mada anaweza akarejeshwa kwao na nguo yake aliovaa tu, Halaf hata JF tusimuone tena, wee unazani akishakurejeshwa bongo hela ya cafe atatoa wapi?[/QUOTE]

Haahahaha lol, asee kama ni hivi kweli bana. Na kama mkewe ndio provider wa kila kitu ye mwenzangu na mimi tu kazi ipo
Nina viunga vya minazi nitauza nazi/madafu nipate hela ya net,ila dah! Nimecheka sana
 
Mimi ndio huwa napingana sana na watu, kwa sababu ni mwanao eti hata akiwa na tabia mbaya unaona sawa tu cause ni mwanao? huko sio kumpenda bali kumpotosha. Lazima mumuonyeshe kwamba tabia yake si nzuri na haikubaliki kwa Mungu na katika jamii nzima. Kama anataka kushirikiana nanyi basi aache hiyo tabia.

Mimi nina binti mmoja tu, na sijui kama nitakuja pata mtoto mwingine ila kwenye masuala ya malezi niko makini sana sijali eti kwa sababu yuko pekee basi kila afanyacho ni sawa, akikosea namuadabisha vizuri tu bila kujali yuko pekee au la, kifupi sina mchezo kabisa. Huwa anashangaa sometimes ila nadhani akija kua mkubwa ndio ataelewa nilikuwa namaanisha nini.
Hongera ktk hili na mafanikio mema ktk kumlea vyema mwanao huyo
 
Habari za weekend waheshimiwa? Ni hivi nina shemeji yangu (mdogo wa kiume)kwa my wife wangu ambaye c rizki watu wanamuhemea mgongoni/gay ambaye anataka kuja kunitembelea ckukuu ya pasaka,binafsi kichwa knauma. je? Gay huyu alale chumba cha mtoto wangu wa kike au wa kiume.

Kwani lazima umkaribishe nyumbani kwako mtu ambaye tayari anakunyima amani?. Mwambie hamtakuwepo basi kwani lazima aje?

Nasema hivi kwa sababu hujui litakalokupata kwani hawa wana kuwa controlled na spirit za Ushoga. Akija hapo anaweza kuja na hizo spirit akawaambukiza watoto wako au wewe hivyo try to be very careful
 
Kuna moja lilikuwa airport yaani ukifika likikupenda unasikia paaapaaa sema paapaa iko juu ya nini??anatoa ulimi anaanza kukubania jicho shetan ashindwe kabis kuna moja liko kampuni moja ya ndege linasumbua mbaya aisee ilo lina nyumba yake limennunuliwa unachukuliwa ulipo unapelekwa kwake na kurudishwa na chenchi juu...mungu tusamehe kwa kweli loh!!

ashakupitia hyo,simz lyk u knw ol the details!
 
Duuuuhhh mmenikumbusha kweli kuna lijamaa limoja pale magomeni yaani lenyewe limeshawatambalia mabwabwa wote wenye hela tena na vyeo vyao anywa sheria inanilinda ila jamaa alivyo hata akiingia chooni asikii harufu ya mavi ashaizoe lann hizi za kuomba mungu atuepushe mbali kabisaaaaaaaaaa

Mh hii kali..
 
Back
Top Bottom