Shemeji yangu naona amevuka mstari mwekundu. Nifanye kweli kutunza heshima ya homie au nimuache ajiendee tu


Umalaya tu kwa wake wa wenzio wewe kuoa wewe aaaah
 
Msikilize kwanza kabla hujala shombo, mke wa mtu kondom muhimu, mi kuna huyo naenda kumla juma4 ila yeye mume wake hana muda naye na kaniganda atari.
Halafu hawa viumbe huwaga watam balaa. Usipoangalia unaweza jikuta na wew unakuwa mume wa pili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Msaidie mshikaji wako kuziba hilo gepu kuliko akienda kutafunwa na wahuni, wakati huo huo msaidie kupata tiba ya tatizo lake akikaa sawa unamuchia goma lake.
 
Sikushauri!! Lakini ingekuwa mimi ningeshamla mzigo kitambo sana huyo demu! Haina kuremba succed!!
 
Msaidie mshikaji wako kuziba hilo gepu kuliko akienda kutafunwa na wahuni, wakati huo huo msaidie kupata tiba ya tatizo lake akikaa sawa unamuchia goma lake.
Umelenga pale pale nilipokuwa nafikiria mimi. Nataka nizibe pengo, lakini pia nimepanga kumpa ushauri wa kufanya mazoezi kila anapokuwa nyumban, aachane na mavinywaji ya sukari, pia nimsaidie kutafuta dawa ya kumpa nguvu za kumshughulikia mkewe kwa namna yoyote atakayotaka.

Asante kwa ushauri mzuri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…