SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Mapenzi hayapo sikuhiziUkimpata umtakae au umpendae?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi hayapo sikuhiziUkimpata umtakae au umpendae?
Habari zenu wanaJF wenzangu
Nina rafiki yangu ambae tumekuwa nae, tumesoma nae na kucheza nae toka utotoni. Homie huyu tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi ya kimaisha, mpaka kupelekea baadhi ya watu wasiotufahamu kuhisi kuwa sisi ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja.
Miaka miwili iliyopita rafiki yangu huyu akaamua atimize nguzo muhimu ya maisha kwa kuoa kabinti keupe na kazuri ka kirangi kutoka kondoa. Baada ya harusi maisha ya ndoa yakaanza kila mmoja wao akifurahia kuoa/kuolewa na mwenzake.
Rafiki yangu huyu ni dereva wa matraki makubwa yanayokwenda nje ya nchi, hivyo muda mwingi humkuta akiwa safarini, na anaporudi huwa ni mtu wa kuchoka choka na kulala lala muda wote. Kwa kipindi cha mwaka mmoja wao wa ndoa jamaa angu alikuwa anajitahidi kutimiza haki za mkewe kwa upande wa kodi ya meza, haki ya kitanda, tiba kwenye maradhi nk hivyo ndoa ilikuwa inakwenda vizuri tu.
Mwaka uliofuatia ambao ndio huu wa pili, hali imekuwa tofauti kwa rafiki yangu kurudi safarini akiwa amechoka sana na hivyo muda mwingine kushindwa kutimiza haki ya kitanda kwa ukamilifu wake. Kwa mujibu wa shemeji yangu, anadai yeye huwa anapenda mtu wa kuchukua angalau dakika 35 na kuendelea akiwa juu ya kifua. Na round takriban angalau ziwe 2 au tatu ndo atatosheka. Shemej anasema mwanzoni homeboy alikuwa anajitahidi kwenda sawa, lakini jinsi miezi na miaka sasa inavyokwenda ndo jinsi mwamba anavyozidi kupunguza speed aliyokuwa nayo mwanzo. Mara kabla ya kumaliza povu linamtoka na kuishia njiani bila kumaliza mechi. Mara akimaliza round 1 hawezi kurudia ya pili.
Hali iliendelea hivyo mara shem uzalendo ukamshinda akawa ananiletea kesi niongee na jamaa angu. Jamaa nikiongea nae ananambia anashindwa kukamilisha kile alichozoea kwa sababu ya mchoko wa kazi zake za safarini. So akawa anaomba amvumilie tu kila kitu kitakuwa sawa mbeleni.
Baada ya kuona hakuna mabadiliko ndo akaamua kuniambia kuwa atachukua hatua ambayo hatohitaji lawama, maana hatimiziwi vizuri haja zake. Au kama inawezekana basi niingilie kati kuokoa jahazi mapema kabla halijazama.
So wazee hapa nichukue uamuzi gani ili kusave tatizo la jamaa angu? Maana ni kama vile anahitaji mimi niwe namkaza sawa sawa ili kuziba pengo la mwanangu analoliacha kutokana na safari pamoja na mchoko wa safari kila anaporudi.
Halafu hawa viumbe huwaga watam balaa. Usipoangalia unaweza jikuta na wew unakuwa mume wa pili 😂😂😂Msikilize kwanza kabla hujala shombo, mke wa mtu kondom muhimu, mi kuna huyo naenda kumla juma4 ila yeye mume wake hana muda naye na kaniganda atari.
Au kwa upande wako mapenzi yapoHapana nimekuelewa vyema bibie 😂😂
Msaidie mshikaji wako kuziba hilo gepu kuliko akienda kutafunwa na wahuni, wakati huo huo msaidie kupata tiba ya tatizo lake akikaa sawa unamuchia goma lake.Habari zenu wanaJF wenzangu
Nina rafiki yangu ambae tumekuwa nae, tumesoma nae na kucheza nae toka utotoni. Homie huyu tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi ya kimaisha, mpaka kupelekea baadhi ya watu wasiotufahamu kuhisi kuwa sisi ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja.
Miaka miwili iliyopita rafiki yangu huyu akaamua atimize nguzo muhimu ya maisha kwa kuoa kabinti keupe na kazuri ka kirangi kutoka kondoa. Baada ya harusi maisha ya ndoa yakaanza kila mmoja wao akifurahia kuoa/kuolewa na mwenzake.
Rafiki yangu huyu ni dereva wa matraki makubwa yanayokwenda nje ya nchi, hivyo muda mwingi humkuta akiwa safarini, na anaporudi huwa ni mtu wa kuchoka choka na kulala lala muda wote. Kwa kipindi cha mwaka mmoja wao wa ndoa jamaa angu alikuwa anajitahidi kutimiza haki za mkewe kwa upande wa kodi ya meza, haki ya kitanda, tiba kwenye maradhi nk hivyo ndoa ilikuwa inakwenda vizuri tu.
Mwaka uliofuatia ambao ndio huu wa pili, hali imekuwa tofauti kwa rafiki yangu kurudi safarini akiwa amechoka sana na hivyo muda mwingine kushindwa kutimiza haki ya kitanda kwa ukamilifu wake. Kwa mujibu wa shemeji yangu, anadai yeye huwa anapenda mtu wa kuchukua angalau dakika 35 na kuendelea akiwa juu ya kifua. Na round takriban angalau ziwe 2 au tatu ndo atatosheka. Shemej anasema mwanzoni homeboy alikuwa anajitahidi kwenda sawa, lakini jinsi miezi na miaka sasa inavyokwenda ndo jinsi mwamba anavyozidi kupunguza speed aliyokuwa nayo mwanzo. Mara kabla ya kumaliza povu linamtoka na kuishia njiani bila kumaliza mechi. Mara akimaliza round 1 hawezi kurudia ya pili.
Hali iliendelea hivyo mara shem uzalendo ukamshinda akawa ananiletea kesi niongee na jamaa angu. Jamaa nikiongea nae ananambia anashindwa kukamilisha kile alichozoea kwa sababu ya mchoko wa kazi zake za safarini. So akawa anaomba amvumilie tu kila kitu kitakuwa sawa mbeleni.
Baada ya kuona hakuna mabadiliko ndo akaamua kuniambia kuwa atachukua hatua ambayo hatohitaji lawama, maana hatimiziwi vizuri haja zake. Au kama inawezekana basi niingilie kati kuokoa jahazi mapema kabla halijazama.
So wazee hapa nichukue uamuzi gani ili kusave tatizo la jamaa angu? Maana ni kama vile anahitaji mimi niwe namkaza sawa sawa ili kuziba pengo la mwanangu analoliacha kutokana na safari pamoja na mchoko wa safari kila anaporudi.
Unataka kuolewa? Nitafute tuyajengeNikiolewa nitakuwa mwaminifu hadi niwe ba mchepukooo
Unajua maana ya jina lako??Unataka kuolewa? Nitafute tuyajenge
Mimi ni Kuhani Mkuu, karibu.Unajua maana ya jina lako??
Chief priest ni mgangaMimi ni Kuhani Mkuu, karibu.
Ni Kuhani, nahudumu madhabahuni.Chief priest ni mganga
MchungajiNi Kuhani, nahudumu madhabahuni.
KuhaniMchungaji
Naunga mkono hojaAcha usenge
Sikushauri!! Lakini ingekuwa mimi ningeshamla mzigo kitambo sana huyo demu! Haina kuremba succed!!Habari zenu wanaJF wenzangu
Nina rafiki yangu ambae tumekuwa nae, tumesoma nae na kucheza nae toka utotoni. Homie huyu tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi ya kimaisha, mpaka kupelekea baadhi ya watu wasiotufahamu kuhisi kuwa sisi ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja.
Miaka miwili iliyopita rafiki yangu huyu akaamua atimize nguzo muhimu ya maisha kwa kuoa kabinti keupe na kazuri ka kirangi kutoka kondoa. Baada ya harusi maisha ya ndoa yakaanza kila mmoja wao akifurahia kuoa/kuolewa na mwenzake.
Rafiki yangu huyu ni dereva wa matraki makubwa yanayokwenda nje ya nchi, hivyo muda mwingi humkuta akiwa safarini, na anaporudi huwa ni mtu wa kuchoka choka na kulala lala muda wote. Kwa kipindi cha mwaka mmoja wao wa ndoa jamaa angu alikuwa anajitahidi kutimiza haki za mkewe kwa upande wa kodi ya meza, haki ya kitanda, tiba kwenye maradhi nk hivyo ndoa ilikuwa inakwenda vizuri tu.
Mwaka uliofuatia ambao ndio huu wa pili, hali imekuwa tofauti kwa rafiki yangu kurudi safarini akiwa amechoka sana na hivyo muda mwingine kushindwa kutimiza haki ya kitanda kwa ukamilifu wake. Kwa mujibu wa shemeji yangu, anadai yeye huwa anapenda mtu wa kuchukua angalau dakika 35 na kuendelea akiwa juu ya kifua. Na round takriban angalau ziwe 2 au tatu ndo atatosheka. Shemej anasema mwanzoni homeboy alikuwa anajitahidi kwenda sawa, lakini jinsi miezi na miaka sasa inavyokwenda ndo jinsi mwamba anavyozidi kupunguza speed aliyokuwa nayo mwanzo. Mara kabla ya kumaliza povu linamtoka na kuishia njiani bila kumaliza mechi. Mara akimaliza round 1 hawezi kurudia ya pili.
Hali iliendelea hivyo mara shem uzalendo ukamshinda akawa ananiletea kesi niongee na jamaa angu. Jamaa nikiongea nae ananambia anashindwa kukamilisha kile alichozoea kwa sababu ya mchoko wa kazi zake za safarini. So akawa anaomba amvumilie tu kila kitu kitakuwa sawa mbeleni.
Baada ya kuona hakuna mabadiliko ndo akaamua kuniambia kuwa atachukua hatua ambayo hatohitaji lawama, maana hatimiziwi vizuri haja zake. Au kama inawezekana basi niingilie kati kuokoa jahazi mapema kabla halijazama.
So wazee hapa nichukue uamuzi gani ili kusave tatizo la jamaa angu? Maana ni kama vile anahitaji mimi niwe namkaza sawa sawa ili kuziba pengo la mwanangu analoliacha kutokana na safari pamoja na mchoko wa safari kila anaporudi.
Umelenga pale pale nilipokuwa nafikiria mimi. Nataka nizibe pengo, lakini pia nimepanga kumpa ushauri wa kufanya mazoezi kila anapokuwa nyumban, aachane na mavinywaji ya sukari, pia nimsaidie kutafuta dawa ya kumpa nguvu za kumshughulikia mkewe kwa namna yoyote atakayotaka.Msaidie mshikaji wako kuziba hilo gepu kuliko akienda kutafunwa na wahuni, wakati huo huo msaidie kupata tiba ya tatizo lake akikaa sawa unamuchia goma lake.
Kesho naenda kula 🙄Halafu hawa viumbe huwaga watam balaa. Usipoangalia unaweza jikuta na wew unakuwa mume wa pili 😂😂😂