Shemeji yangu Raimundo

Oooh sawa shemeji sitokuuliza tena.
hahahahahahahahahhahah, uwe na amani uliza tu. Sasa vipi una namba au hata kujua iD ya Raimundo? serious nina shida naye kaka yule ni shemeji yangu wa ukweli.
 
Kumbe uko mwanza na Mimi nimefika Leo hii ktk mizunguko ya maisha

Tuonane basi kama hutojali

Teh
Sawa ngoja nikuelekeze nilipo. Njoo soko la kimataifa la samaki eneo la Mwaloni, ulizia mama ntilie NAHUJA mwenye chakula kitamu, kizuri na chenye kuongeza nguvu za kiume utanipata. huwa ninauza hadi saa 12.00 jioni. karibu sana. Karibu ujilambe. Pia sio mbaya nikaribishe na wadau wengine huko walipo kama kuna siku watakuja MZA basi wanitembelee. Ushimen, Jiwedogo, MBITIYAZA, Kichwa Kichafu, Joseverest karibuni sana MZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…