Hukumtetea walipomshambulia, tuliojaribu kumtetea tuliishia kutukanwa.Naomba shemeji yangu kipenzi kama uko hapa JF na ID nyingine tafadhali nisemeshe. Kila nikichungulia ID yako imekuwa BANNED.
Please Raimundo, nina shida na wewe.
Shost hebu niambie ID yake hata kupitia PM kweli nina shida naye ila nzuri tu ya amani.Mbona yupo humu
Tatizo nyie wanaume wa jf mmekua wambea sana skuizi....[emoji13] [emoji13]MECO kuna majambazi sometimes ujue!! tafuteni sehemu nyingine halafu na mie mniite😉
Kipindi anashambuliwa nilikuwa sina bando kama mwezi mzima hivi, kuja kuingia JF ndio nakutana na hilo neno "assist me PM" kuuliza wakaniambia ni shemeji yangu. Ila mie sikujali. kuingia kwenye a/c yake ndio hivyo tena BANNED hadi leo. Nakutafuta Raimundo shemeji yangu pleaseHukumtetea walipomshambulia, tuliojaribu kumtetea tuliishia kutukanwa.
Any way utampata
Nahuja ni binti mama ntilie mrembo acha kumuchafuaTatizo nyie wanaume wa jf mmekua wambea sana skuizi....[emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hahahahahhahahah, ngoja siku akija Mwanza ale chakula changu tena cha kuongeza nguvu za kiume ataacha kuniita ME hahahhaNahuja ni binti mama ntilie mrembo acha kumuchafua
hahhaha kumbe "nkuki" kwa nguluwe ntamu kwa mwanadamu nchungu" hahahaha.Sawa mkuu lakini dahhhh....Naona umeamua kunichafua wakati mimi siishi Dar......
Pole sana, sijui kama una maanisha lkn Raimundo yupo humu kwa uhakika 100%.Kipindi anashambuliwa nilikuwa sina bando kama mwezi mzima hivi, kuja kuingia JF ndio nakutana na hilo neno "assist me PM" kuuliza wakaniambia ni shemeji yangu. Ila mie sikujali. kuingia kwenye a/c yake ndio hivyo tena BANNED hadi leo. Nakutafuta Raimundo shemeji yangu please
Nimeambiwa na muheshimiwa kwamba wewe ni binti.....hahhaha kumbe "nkuki" kwa nguluwe ntamu kwa mwanadamu nchungu" hahahaha.
Muheshimiwa nani huyo? hahahahahahah. Kwanza nipe ID ya RaimundoNimeambiwa na muheshimiwa kwamba wewe ni binti.....
Basi kuanzia leo sinto rudia kukuita Me la mbegu....
Samahani mkuu, ujue hizi ID zimeficha mengi sana wallah kaka....
Ngoja na mimi nije kuonja huo msosi ila ndyo natokea shirima kuja kufika huko itakuwa ushafunga?hahahahahhahahah, ngoja siku akija Mwanza ale chakula changu tena cha kuongeza nguvu za kiume ataacha kuniita ME hahahha
Samahani mkuu....
Nahuja mie kukusamehe hadi uniunganishe na shemeji yangu kipenzi RaimundoSamahani mkuu....
Hili kosa halita jirudia tena mkuu
Niombee radhi kwa NAHUJA pia