Shemeji yangu Raimundo

Shemeji yangu Raimundo

Sawa ngoja nikuelekeze nilipo. Njoo soko la kimataifa la samaki eneo la Mwaloni, ulizia mama ntilie NAHUJA mwenye chakula kitamu, kizuri na chenye kuongeza nguvu za kiume utanipata. huwa ninauza hadi saa 12.00 jioni. karibu sana. Karibu ujilambe. Pia sio mbaya nikaribishe na wadau wengine huko walipo kama kuna siku watakuja MZA basi wanitembelee. Ushimen, Jiwedogo, MBITIYAZA, Kichwa Kichafu, Joseverest karibuni sana MZA
Mbona nilipita kumbe ni wewe rafiki sikujitambulisha kwa kweli vitumbua vyako ni shida toka enzi na enzi sijawahi kuona vitumbua vitamu kama vile
 
Back
Top Bottom