Mngh!
Hahaha nataka nikale ugali na Sato kwa dada NAHUJA amesema anachakula kitamu
Nimekaribishwa na nahuja nikale sasa best vip tena nikataka twende wote
Ningekuwa na shida ya nguvu ninhekuwa shaleta maada humu
Maana kinga ni bora kuliko tiba
Teh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja niendena kweli ana msosi mtraam
Hivi ule uzi wa assist nani alikua muanzishaji nataka niende chukua assist flani!..Nahuja unataka assist
Mbona nilipita kumbe ni wewe rafiki sikujitambulisha kwa kweli vitumbua vyako ni shida toka enzi na enzi sijawahi kuona vitumbua vitamu kama vileSawa ngoja nikuelekeze nilipo. Njoo soko la kimataifa la samaki eneo la Mwaloni, ulizia mama ntilie NAHUJA mwenye chakula kitamu, kizuri na chenye kuongeza nguvu za kiume utanipata. huwa ninauza hadi saa 12.00 jioni. karibu sana. Karibu ujilambe. Pia sio mbaya nikaribishe na wadau wengine huko walipo kama kuna siku watakuja MZA basi wanitembelee. Ushimen, Jiwedogo, MBITIYAZA, Kichwa Kichafu, Joseverest karibuni sana MZA
Nitajie kule kwetunimejikuta na like tu maana umetaja majina mawili hapa ambayo nina mashaka nayo
hahahahahah
nena vyema nitakutajia kule maeneoNitajie kule kwetu
Assist bado zinaendelea kule?Hivi ule uzi wa assist nani alikua muanzishaji nataka niende chukua assist flani!..
Mwataka kunyonya nini wenzetu [emoji6]?hahhahaha mie must nionane na ww tunyonye vya kunyonya!maisha ndo hayahaya!
nb:toka out na wahenga!lol ..sio kila mtu wakutoka naye
Wivu kidonda,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, teh teh teh tehnimejikuta na like tu maana umetaja majina mawili hapa ambayo nina mashaka nayo
hahahahahah
sijajua mkuu, hebu nitumie link long tym sana kuutembelea ule uzi!..Assist bado zinaendelea kule?
Teh teh jiran bhanaWivu kidonda,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, teh teh teh teh
ππMbona nilipita kumbe ni wewe rafiki sikujitambulisha kwa kweli vitumbua vyako ni shida toka enzi na enzi sijawahi kuona vitumbua vitamu kama vile
Naona jirani yangu na hunter wake wapo juu. Mie sitaki kuongea jamani baby ananichosha [emoji26]Teh teh jiran bhana
Ngoja nikautafute mkuu sijapita kule mdasijajua mkuu, hebu nitumie link long tym sana kuutembelea ule uzi!..
[emoji6] [emoji6] [emoji6]ππ
Jirani kipenzi habariNaona jirani yangu na hunter wake wapo juu. Mie sitaki kuongea jamani baby ananichosha [emoji26]
Mwataka kunyonya nini wenzetu [emoji6]?
Ahahahaaaaaahahahahahah afu hii niliipataga kwako!uliwah niambia unayonya!sio kunywa!lol