Hutaki nyongeza?mimi ninazoza kutosha bana
Sijampata kabisa, ila nina shida kweli sio kwamba ni utani wa hapa JF!Ushampata?
Mbona niliambiwa hiyo gesti ina usalama na ni karibu na mwaloni. Naambiwa watu ya DRC huipenda na bei yake ni reasobale less than 10,000/=Basi kama ni muuza dagaa, lazima ukae hoteli yenye hadhi na pia yenye usalama. Mwanza hoteli ni nyingi sana na bei zao ni reasonable, usikae uchochoroni huko ni hatari kwa mali zako.
Sasa wewe ni m DRC?!Mbona niliambiwa hiyo gesti ina usalama na ni karibu na mwaloni. Naambiwa watu ya DRC huipenda na bei yake ni reasobale less than 10,000/=
Mtindiga tu ila kuna wauza dagaa wenzangu toka DRC walikuwa wanaisifiaSasa wewe ni m DRC?!
ha ha haa! watu wa mkoani huwa hatuhitaji za nyongeza, nakushauri hiyo biashara uihamishie kwa wanaume wa darHutaki nyongeza?
Usikae pale utaibiwa. Hata hao wa DRC sio watu wazuri. wanatabia ya kuonesha uaminifu kwa kipindi kirefu hadu unamuona muungwana lakini siku isiyo na jina anakuibiaMtindiga tu ila kuna wauza dagaa wenzangu toka DRC walikuwa wanaisifia
Nilijua ulibadili jina JF tu kumbe hadi ofisini mkuu [emoji3] .Sawa ngoja nikuelekeze nilipo. Njoo soko la kimataifa la samaki eneo la Mwaloni, ulizia mama ntilie NAHUJA mwenye chakula kitamu, kizuri na chenye kuongeza nguvu za kiume utanipata. huwa ninauza hadi saa 12.00 jioni. karibu sana. Karibu ujilambe. Pia sio mbaya nikaribishe na wadau wengine huko walipo kama kuna siku watakuja MZA basi wanitembelee. Ushimen, Jiwedogo, MBITIYAZA, Kichwa Kichafu, Joseverest karibuni sana MZA
Hapa kwenye chakula pia nimebadili. nimeandika "KARIBU NAHUJA JILAMBENilijua ulibadili jina JF tu kumbe hadi ofisini mkuu [emoji3] .
Poa poa mkuu, nitakaribia siku moja hapo Mwaloni.Hapa kwenye chakula pia nimebadili. nimeandika "KARIBU NAHUJA JILAMBE
Karibu sana. utaona bango langu limerembwa kuliko mabango yote hapa ya mama lishePoa poa mkuu, nitakaribia siku moja hapo Mwaloni.
hahahahaNilijua ulibadili jina JF tu kumbe hadi ofisini mkuu [emoji3] .
hahahaahahahha ha haa! watu wa mkoani huwa hatuhitaji za nyongeza, nakushauri hiyo biashara uihamishie kwa wanaume wa dar
Hebu mcheki tena NAHUJANaomba shemeji yangu kipenzi kama uko hapa JF na ID nyingine tafadhali nisemeshe. Kila nikichungulia ID yako imekuwa BANNED.
Please Raimundo, nina shida na wewe.
Nani mwanamme? mimi au Raimundo?!kumbe mwanaume...?
Nahuja unataka assist
Wajue matapeli kumi mahiri waliowahi kuisumbua dunia - JamiiForumsMbona yupo humu