Shemeji yangu Raimundo

Shemeji yangu Raimundo

Basi kama ni muuza dagaa, lazima ukae hoteli yenye hadhi na pia yenye usalama. Mwanza hoteli ni nyingi sana na bei zao ni reasonable, usikae uchochoroni huko ni hatari kwa mali zako.
Mbona niliambiwa hiyo gesti ina usalama na ni karibu na mwaloni. Naambiwa watu ya DRC huipenda na bei yake ni reasobale less than 10,000/=
 
Mtindiga tu ila kuna wauza dagaa wenzangu toka DRC walikuwa wanaisifia
Usikae pale utaibiwa. Hata hao wa DRC sio watu wazuri. wanatabia ya kuonesha uaminifu kwa kipindi kirefu hadu unamuona muungwana lakini siku isiyo na jina anakuibia
 
Sawa ngoja nikuelekeze nilipo. Njoo soko la kimataifa la samaki eneo la Mwaloni, ulizia mama ntilie NAHUJA mwenye chakula kitamu, kizuri na chenye kuongeza nguvu za kiume utanipata. huwa ninauza hadi saa 12.00 jioni. karibu sana. Karibu ujilambe. Pia sio mbaya nikaribishe na wadau wengine huko walipo kama kuna siku watakuja MZA basi wanitembelee. Ushimen, Jiwedogo, MBITIYAZA, Kichwa Kichafu, Joseverest karibuni sana MZA
Nilijua ulibadili jina JF tu kumbe hadi ofisini mkuu [emoji3] .
 
Back
Top Bottom