Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni shemeji yangu, halafu mbaya zaidi sina namba zake za simu ya mkononi. Ndio maana namuita kama ana ID nyingine basi anisemeshe PIEMUDu hii shemeji shemeji
Tunakulaga tu hatari
Teh
Wewe me au ke?Naomba shemeji yangu kipenzi kama uko hapa JF na ID nyingine tafadhali nisemeshe. Kila nikichungulia ID yako imekuwa BANNED.
Please Raimundo, nina shida na wewe.
Ulishawahi tena kuniuliza hili swali Mlandula Jr. nakujibu kwa mara ya mwisho ni mwanamkeWewe me au ke?
Wewe me au ke?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ulishawahi tena kuniuliza hili swali Mlandula Jr. nakujibu kwa mara ya mwisho ni mwanamke
Ni mtu wangu wa karibu sana, ila mbaya zaidi sikuwahi kuwa na namba zake. Ila nikishindwa hapa JF nitakwenda kwenye ofisi yao branch ya hapa Mwanza niwaombe namba zake. Miss sana shemeji yangu RaimundoNahuja unataka assist
mmh! Mama Sabrina kwa sasa niko vibaya kweli shost, hata chup.i niliyovaa imetoboka si kwa kuishiwa huko. nipatie tuuuNipe pesa nikupe namba yake
hahahahahhaha, habari mkuu. Yaani kila mara lazima aniulize hilo swali anaponiquote. hahahahahahahha. Na mie bila hiyana huwa namjibu Mlandula Jr[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Tatizo wewe ni Me alafu unajifanya Ke....[emoji13] [emoji13] [emoji13]hahahahahhaha, habari mkuu. Yaani kila mara lazima aniulize hilo swali anaponiquote. hahahahahahahha. Na mie bila hiyana huwa namjibu Mlandula Jr
Oooh sawa shemeji sitokuuliza tena.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
tehe tehe teheTatizo wewe ni Me alafu unajifanya Ke....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
hahahahahahahahahhahah, uwe na amani uliza tu. Sasa vipi una namba au hata kujua iD ya Raimundo? serious nina shida naye kaka yule ni shemeji yangu wa ukweli.Oooh sawa shemeji sitokuuliza tena.
Njoo uchukue umpatie hiyo namba.Nipe pesa nikupe namba yake
Mmmh mm nina maswali mengi sana nahisi u mwepesi kuchukia.hahahahahahahahahhahah, uwe na amani uliza tu. Sasa vipi una namba au hata kujua iD ya Raimundo? serious nina shida naye kaka yule ni shemeji yangu wa ukweli.
Sawa ngoja nikuelekeze nilipo. Njoo soko la kimataifa la samaki eneo la Mwaloni, ulizia mama ntilie NAHUJA mwenye chakula kitamu, kizuri na chenye kuongeza nguvu za kiume utanipata. huwa ninauza hadi saa 12.00 jioni. karibu sana. Karibu ujilambe. Pia sio mbaya nikaribishe na wadau wengine huko walipo kama kuna siku watakuja MZA basi wanitembelee. Ushimen, Jiwedogo, MBITIYAZA, Kichwa Kichafu, Joseverest karibuni sana MZAKumbe uko mwanza na Mimi nimefika Leo hii ktk mizunguko ya maisha
Tuonane basi kama hutojali
Teh