Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
yapi hayo majinanimejikuta na like tu maana umetaja majina mawili hapa ambayo nina mashaka nayo
hahahahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yapi hayo majinanimejikuta na like tu maana umetaja majina mawili hapa ambayo nina mashaka nayo
hahahahahah
Siri yangu Shem but nafatilia taratibuyapi hayo majina
Mwaloni KirumbaKaribu na msikiti wa Taqwa?
Haswaaa, na mie ni miongoni mwa hao wengi wengiHapo ndani kwenye wapishi wengi wengi?
hahahahahaahahahaha, waje tu waje waje, hahahahahahaah.
hahahahah, karibu na wewe uonje mapishi yangu. Chakula changu kinaongeza "nguvu za kiume" hahahahakirahisi rahisi hivo ama!!!
Sawa siku nitakuja hapo nipate lunchHaswaaa, na mie ni miongoni mwa hao wengi wengi
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛Mbona nilipita kumbe ni wewe rafiki sikujitambulisha kwa kweli vitumbua vyako ni shida toka enzi na enzi sijawahi kuona vitumbua vitamu kama vile
Kuna gesti inaitwa magomeni?Mwaloni Kirumba
Ndio ipo ila niya kizamani sana.Kuna gesti inaitwa magomeni?
Karibu sana ujilambeSawa siku nitakuja hapo nipate lunch
Siwezi kulala hapo nikija mwanza?Ndio ipo ila niya kizamani sana.
Mimi ni muuza dagaa tuSijui "hadhi" yako mkuu narumuk
mimi ninazoza kutosha banahahahahah, karibu na wewe uonje mapishi yangu. Chakula changu kinaongeza "nguvu za kiume" hahahaha
Basi kama ni muuza dagaa, lazima ukae hoteli yenye hadhi na pia yenye usalama. Mwanza hoteli ni nyingi sana na bei zao ni reasonable, usikae uchochoroni huko ni hatari kwa mali zako.Mimi ni muuza dagaa tu