On Duty
JF-Expert Member
- Aug 21, 2020
- 566
- 1,083
Poleni na mihangaiko ndugu zanguni.
Hivi ni nini kinapelekea mtu kupenda kutafuna mkaa?
Na ni nini cha kufanya ili kuacha kutafuna mkaa?
Kuna huyu shemeji yangu wa kike yaani mdogo wake na mamaaenu(mke wangu) anatafuna mkaa kuliko kawaida. Hii kitu ameianza muda tangu hana Mtoto hadi sasa ana Watoto wawili na nusu(yaani ujauzito).
Sasa huyu shemeji anaomba ushauri namna ya kuacha hii kitu maana ameshakuwa addicted.
Nawasilisha: