Dawa rahisi ya addiction, ni kutafuta addiction mpya yenye nafuu!Poleni na mihangaiko ndugu zanguni.
Hivi ni nini kinapelekea mtu kupenda kutafuna mkaa?
Na ni nini cha kufanya ili kuacha kutafuna mkaa?
Kuna huyu shemeji yangu wa kike yaani mdogo wake na mamaaenu(mke wangu) anatafuna mkaa kuliko kawaida. Hii kitu ameianza muda tangu hana Mtoto hadi sasa ana Watoto wawili na nusu(yaani ujauzito).
Sasa huyu shemeji anaomba ushauri namna ya kuacha hii kitu maana ameshakuwa addicted.
Nawasilisha:
Upungufu wa madini vs vitamins vs eating disorders/ psychological issues.Ana upungufu wa madini hueanda ameshawahi kwenda hospitali?
Ifahamike sio kila mkaa huondoa sumu. Kuna mkaa kwa mfano wa miwati ni sumu sasa wewe kajichanganye ubwie utakuongezea speed ya kufa.Yaani mtu anakula tiba anajitibu unaona kero. Mkaa ni kiboko ya sumu zote za vyakula vya viwandani.
Google faida ya mkaa kiafya nawe utaanza dozi.
Kunywa juicy ya mkaa kila mara hospital kwako itakuwa kituo cha police.
TrueIfahamike sio kila mkaa huondoa sumu. Kuna mkaa kwa mfano wa miwati ni sumu sasa wewe kajichanganye ubwie utakuongezea speed ya kufa.
Ulifanikiwaje kuacha?Me pia nshakula sana mkaa
Ni addiction moja mbaya sana...
Ila pia mkaa ni mzuri kwenye kutoa sumu mwilini na kwenye weight loss
Yani unapunguza mwili hadi waweza sema mtu ni mgonjwa.
Nime gain uzito nataka nipungue
Nliacha ila nataka kuanza tenaUlifanikiwaje kuacha?