Hivi simba wataanzia upande gan?
Boss hapo pengne unaweza kuta sio kwamba anaficha hela kama wengne wanavyosema, humo kwenye mpochi wake kunaweza kuwa na mambo ambayo kwa namna moja ama nyingine yanaweza hatarisha ndoa yenu anaona ikae mbali kama una tabia ya kumkagua wenda humkazi vzuri anatunza kifaa chake anakitumia usipomkanda vizur au mengne mengi wanawake wana vitu vingi
Mtafute muweke mezani muelezeane ila kabla ya hapo mfanye aone we ni mme wake kwa matendo hio ni ndoa nadhan unajua ili ndoa iwe harali nini inabdi kifanyike basi kifanye kwa weredi alafu muweke chini umuulize kwanini anaficha mkoba wake
Ni hayo tu ila kama una kamoyo ka wavulana achana na kumfatilia mke wako
Nawasilisha