Shemeji yenu anaficha pochi kwenye chumba cha mabinti wa kazi.

Aisee kwa hiyo simu ikilia anapokea dada wa kazi halafu anapeleka ujumbe eti

Hawa viumbe wana mbinu zaidi ya shetani baadhi yao
Hapokei dada wa kazi maana yule haaminiki, ni mhusika mwenyewe anajua ratiba ya kuwasiliana na watu wake ili hali jamaa yumo ndani. Nikwambieni kitu wandugu inawezekana kikawa ni cha kijinga sana ila ukizingatia hutoishi kwa tabu hata siku moja.

Haya maisha usiwe serious kupitiliza muda wote.
 
Kama unaishi nae vile
😄 🤣
 
Wakuu napitia kipindi kigumu sana.

Baada ya mzazi kugeuka mtetezi wa wanangu.

Shemeji yenu amekua akiweka hand bag yake kwenye chumba cha mabinti wa kazi.

Nahisi mwanzo wa jambo la hatari.

Kwanini afiche hand bag.??
Je hio handbag inakuwa na simu huko ndani kwa Binti wa kazi? Au ana simu zaidi ya moja? Au handbag ameanza dosage ya ARV kimya kimya? Take care bro
 
Wakuu napitia kipindi kigumu sana.

Baada ya mzazi kugeuka mtetezi wa wanangu.

Shemeji yenu amekua akiweka hand bag yake kwenye chumba cha mabinti wa kazi.

Nahisi mwanzo wa jambo la hatari.

Kwanini afiche hand bag.??
Hand bag la mkeo lanini?
 
Amegundua kuwa akificha handbag yake chumba Cha house girl inakuwa salama zaidi kuliko akiiacha chumbani kwenu
Huyu naanza kuamini kuna mahali Ana Anza ujenzi kimya kimya maana tukio la mama yake kupokea kiinua mgongo kalihusianisha na manunuzi ya kiwanja na ujenzi unaoendelea sasa nahisi risiti za manunuzi atakua anazificha humo.
 
ndo ishatoka hiyo.
kaa kwa kutulia
 
Mzee anakuzidi kipato? Tabia hiyo imeanza lini!? Mna muda gani kwenye ndoa?
 
Back
Top Bottom