Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Wakuu Dunia nzima ikiungana dhidi ya Putin
Jambo la kushangaza sana ni kuwa shem wenu anamsupport kwa moyo mweupe.
Ni jambo la kusikitisha kwamba kwa jinsi alivyo anasupport ukandamizaji wa haki na uhuru kwa kiasi hicho.
Haachi kunitumia picha na clip za warusi.
Naona kama atawafundisha wanangu ukatili kama wa putin.
Naombeni ushauri wenu kabla sijachukua hatua kali za vikwazo vya kila namna dhidi yake ikiwa ni pamoja na kusitisha kabisa mahusiano.