Shemeji yenu anamsupport Putin najiandaa kuachana naye

Safari ndefu kuelekea wapi??

Maana mwanamke huwezi support matendo ya kikatili namna hii.

Ayo matendo ya kikatili ya Urusi yana effects gan kwenye familia yako? Umemuuliza kwann anasapoti Urusi?
Je na yeye akisema awezi support upande ambao unasapotiwa na mikono iliyojaa dam za wasio na hatia utasemaje?
 
Mke anakuzidi akili na ni mfatiliaji ila unaonekana wewe ni wa kusikia na kuamua bila kujua kwa undani wa jambo.

Muache ataolewa tuuu.
 
mke anakuzidi akili na ni mfatiliaji ila unaonekana wewe ni wa kusikia na kuamua bila kujua kwa undani wa jambo.

Muache ataolewa tuuu.
Sikubaliani na wewe maana kama angekua kanizidi asingekubali nimuowe never.
 
Wakuu Dunia nzima ikiungana dhidi ya Putin

Jambo la kushangaza sana ni kuwa shem wenu anamsupport kwa moyo mweupe.

Ni jambo la kusikitisha kwamba kwa jinsi alivyo anasupport ukandamizaji wa haki na uhuru kwa kiasi hicho.

Haachi kunitumia picha na clip za warusi.

Naona kama atawafundisha wanangu ukatili kama wa putin.

Naombeni ushauri wenu kabla sijachukua hatua kali za vikwazo vya kila namna dhidi yake ikiwa ni pamoja na kusitisha kabisa mahusiano.
Fukuza huyo muuaji, hana tofauti na ccm
 
Unaweza kuwa unatania!
Ila haya mambo yapo mm nilimpiga chini.mchumba wangu ,enzi za fukuto la Lowasa na Richmond !
Yaani alikuwa ana nikera Kushabikia Ufisadi!
Hakuamini ,mpaka leo haamini!
Ila na Mimi nilijishngaa baadaye wakati wa Uchaguzi wa Mwaka 2015🤫🤫😁😁😁😆
 
Ni yule mjane uliyemrithi au hawara mwingine?
 
Unaweza kuwa unatania!
Ila haya mambo yapo mm nilimpiga chini.mchumba wangu ,enzi za fukuto la Lowasa na Richmond !
Yaani alikuwa ana nikera Kushabikia Ufisadi!
Hakuamini ,mpaka leo haamini!
Ila na Mimi nilijishngaa baadaye wakati wa Uchaguzi wa Mwaka 2015🤫🤫😁😁😁😆
Ukampigia kura Lowasa.
 
Mlete kwangu naona tutaendana
Wakuu Dunia nzima ikiungana dhidi ya Putin

Jambo la kushangaza sana ni kuwa shem wenu anamsupport kwa moyo mweupe.

Ni jambo la kusikitisha kwamba kwa jinsi alivyo anasupport ukandamizaji wa haki na uhuru kwa kiasi hicho.

Haachi kunitumia picha na clip za warusi.

Naona kama atawafundisha wanangu ukatili kama wa putin.

Naombeni ushauri wenu kabla sijachukua hatua kali za vikwazo vya kila namna dhidi yake ikiwa ni pamoja na kusitisha kabisa mahusiano.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Naa
Ukampigia kura Lowasa.
[/QU
Ukampigia kura Lowasa.
Naam,ila ...kwenye Mapenzi/Upendo Ina bidi muwe na mrengo mmoja kisiasa,kijamii ,kiutamaduni nk,mkiwa tofauti hhasa kwa watu wenye Imani Kali no hatari Kwa mfano ...Mimi hata Mwanangu akishabikia Utopolo hiwa nakereka ,ila.najikaza kisabuni!
 
Back
Top Bottom