Shemeji yenu anamsupport Putin najiandaa kuachana naye

Shemeji yenu anamsupport Putin najiandaa kuachana naye

SABABU TATU ZA KUWAPO KWA HII VITA
1. inachochewa na Ukrain kutaka kujiunga na NATO mrusi hataki kwa sabab za kiusalama yani atakapo jiunga nchi za kimaghalibi hasa Marekani atajenga base kubwa sana za kijeshi jmbo ambalo litahatarisha usalama wa Urusi.ukrane na urusi zinapakana kutokana na ujiran huo rahis kwa mmarekan kumsoma mrusi

2. maswala ya expansionism policy yan ile kujitanua mrusi anataka ku attack maeneo yake aliyo yapoteza wakati wa anguko la USSR yaliyopo Ukrain jambo hilo linachangiwa na kuna baadhi ya miji ambayo ina pmbana kujitoa Ukrain kwa hio inamrahisishia mrusi atumie mwanya huo kumchapa Ukrain kwa ujumla.
3. ni mkataba wa Amani ambao umekiukwa na Ukrain ambao ulidhamiria Ukrain kutokujiunga na NATO

Muhimu kujua:
1. Nchi za magharibi zikiingia upande wa Ukrane, China na India na Korea kaskazin zinaginga upande wa urusi.kUMBUKA HAWA WOTE NI WAFADHILI WA UCHUMI WETU HUU WA CCM.KIKINUKA KULE KIMENUKA HUKU!
2.shemeji yuko sahihi kuwa upande wa PUTIN (Team Putin), anajielewa na anaelewa siasa za dunia.
 
Sema tu umemchoka..kusupport putin kisingizio
 
Wewe sitisha uhusiano naye na umuwekea vikwazo vya kiuchumi, halafu sisi nchi za kisovyeti tuje tumchukue na tuweke makoloni kwake.
Yaani wifi yangu yeye ndiye mwenye nuclear bombs wewe subiri aziweke kwenye high alert na akizitoa lazima akuangamize
 
UPDATES:

Wakuu kuna jambo limetokea mida ya ijioni leo.

Sasa ile jana, akanitumia clip fake eti Rusia wameiteka capital city ya Kyiv.

Nikapandwa na hasira nikamfuata jikoni maana alikua anaandaa diner nikamkuta huko na junior wetu nikaazimia kumshikisha adabu ili familia nzima watambue mamlaka yangu

Sasa ile narusha kofi moja zito kwa spidi ya umeme akaliona kumbe nilisahau kwamba nilimpeleka mafunzo ya karate ili kuimarisha ulinzi wa nyumbani.

Kwakua kofi lilikua zito sana niliyumba na kuangukia masufiria pale jikoni.

Junior akawa anacheka tu kuwa dady yake nimeangukia masufuria.

Nimeamua kukata mawasiliano ya huduma muhimu kwake.

1. Hakuna tena fedha ya saloon.

2. Sitaacha kodi ya meza . nitakua natoka na junior kupata chakula na junior akibaki nyumbani nitamuagizia chipsi.

3. Nimehamia chumba cha wageni rasmi.

4. Nimempiga marufuku kuwa karibu yangu umbali wowote ule ambao utasababisha nipate hisia nae.

5. Nimemblock wassap ili asinitumie ma clip yake.

Hayo ndio maamuzi yangu kwa sasa labda mnishauri zaidi ili kuboresha adhabu yangu.
 
Update 12: 05 hrs.

Nimepokea simu toka kwa mama mkwe madai yake ni kwamba weekend hii nihakikishe nakwenda kumsalimia maana ana jambo la kujadili na mimi.

Huu wito wa ghafla namna hii maana yake nini au ndio vikwazo vimeanza kuonesha makali Yake??
 
UPDATES:

Wakuu kuna jambo limetokea mida ya ijioni leo.

Sasa ile jana, akanitumia clip fake eti Rusia wameiteka capital city ya Kyiv.

Nikapandwa na hasira nikamfuata jikoni maana alikua anaandaa diner nikamkuta huko na junior wetu nikaazimia kumshikisha adabu ili familia nzima watambue mamlaka yangu

Sasa ile narusha kofi moja zito kwa spidi ya umeme akaliona kumbe nilisahau kwamba nilimpeleka mafunzo ya karate ili kuimarisha ulinzi wa nyumbani.

Kwakua kofi lilikua zito sana niliyumba na kuangukia masufiria pale jikoni.

Junior akawa anacheka tu kuwa dady yake nimeangukia masufuria.

Nimeamua kukata mawasiliano ya huduma muhimu kwake.

1. Hakuna tena fedha ya saloon.

2. Sitaacha kodi ya meza . nitakua natoka na junior kupata chakula na junior akibaki nyumbani nitamuagizia chipsi.

3. Nimehamia chumba cha wageni rasmi.

4. Nimempiga marufuku kuwa karibu yangu umbali wowote ule ambao utasababisha nipate hisia nae.

5. Nimemblock wassap ili asinitumie ma clip yake.

Hayo ndio maamuzi yangu kwa sasa labda mnishauri zaidi ili kuboresha adhabu yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu Dunia nzima ikiungana dhidi ya Putin

Jambo la kushangaza sana ni kuwa shem wenu anamsupport kwa moyo mweupe.

Ni jambo la kusikitisha kwamba kwa jinsi alivyo anasupport ukandamizaji wa haki na uhuru kwa kiasi hicho.

Haachi kunitumia picha na clip za warusi.

Naona kama atawafundisha wanangu ukatili kama wa putin.

Naombeni ushauri wenu kabla sijachukua hatua kali za vikwazo vya kila namna dhidi yake ikiwa ni pamoja na kusitisha kabisa mahusiano.
mim nitamuoa sababu mim pia namsuport putin
 
Huyo ni gaidi achana nae mapema huyo atakuja kukuendesha ndani ya nyumba anapenda ugomvi huyo
 
Usisitishe mahusiano. Kila mtu ana haki ya kuchagua upande kutokana na vitu gani anavyovijua au anavyoviamini. Wewe muulize kwanini ame side na "Putin", akikupa sababu zake kama yupo wrong mwelekeze.
Nilijua hii itakuwa comment ya mwanamke

Nikweli wanawake hawana akili kbsà I realized kupitia hii comment
 
Back
Top Bottom