Shemeji yenu anamsupport Putin najiandaa kuachana naye

Safari ndefu kuelekea wapi??

Maana mwanamke huwezi support matendo ya kikatili namna hii.

Ayo matendo ya kikatili ya Urusi yana effects gan kwenye familia yako? Umemuuliza kwann anasapoti Urusi?
Je na yeye akisema awezi support upande ambao unasapotiwa na mikono iliyojaa dam za wasio na hatia utasemaje?
 
Mke anakuzidi akili na ni mfatiliaji ila unaonekana wewe ni wa kusikia na kuamua bila kujua kwa undani wa jambo.

Muache ataolewa tuuu.
 
Huyo Piga chini Chap kwa haraka!Hana Utu wala Utulivu
 
Ebu weka vizuri amempa sex support, Money support au material support?
 
mke anakuzidi akili na ni mfatiliaji ila unaonekana wewe ni wa kusikia na kuamua bila kujua kwa undani wa jambo.

Muache ataolewa tuuu.
Sikubaliani na wewe maana kama angekua kanizidi asingekubali nimuowe never.
 
Fukuza huyo muuaji, hana tofauti na ccm
 
Unaweza kuwa unatania!
Ila haya mambo yapo mm nilimpiga chini.mchumba wangu ,enzi za fukuto la Lowasa na Richmond !
Yaani alikuwa ana nikera Kushabikia Ufisadi!
Hakuamini ,mpaka leo haamini!
Ila na Mimi nilijishngaa baadaye wakati wa Uchaguzi wa Mwaka 2015πŸ€«πŸ€«πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜†
 

Ni yule mjane uliyemrithi au hawara mwingine?
 
Ukampigia kura Lowasa.
 
Mlete kwangu naona tutaendana
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Naa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…