Shemeji yetu naye, mahaba hadi kwenye TV!

Ulivoandika tu shemeji nikajua unaongelea lile bango la mh . Rais
 
hyo alama ni ipi?

Teh Teh umefikiri nini?

hahahahhahaha iko hivi .....kawaida wanafunzi wenye ulemavu wa kusikia(viziwi sio jina rasmi) huwatambua walimu,wanafunzi na watu wengine sio kwa majina bali ni kwa alama ambazo wao wenyewe wanaamua kuwapa,na io alama inatokana sehemu ya mwili wako ambayo ni ya kipekee au inaonekana waziwazi kama vile kitambi,kuwa na nywele ndefu,masikio makubwa,pua nk......sasa pata picha kwa bwana dimondo hali ipoje
 

Ha ha ha hahaaaa kwahiyo kwa diamond wanaonesha alama ya mdomo? Lol
 
Mahaba niueeeeee hutaki saga chupa unyweee
 
Niu niuee mahaba niuee!kwenye joto nipepeee ,
Ukichoka jilaze kifuani,vumilia mabaybeee
tupatacho kidogo ahueniiii

woooo woo woo woooo!hiki kisiki cha mpingo cha mpingoooo!
wooo woo woo acha mwenzenu nicheke japo nina pengooo@maboso

eh bwana eenh!
nimependa sauti yako tu..
 
hizi threads za zali n diamond naomba ziunganishwe iwe moja...too much kama tupo facebook bhana...wte um tunaonekana tunawashwa mishono kama walioko kweny hyo party
 
Mungu ibariki Tanzania....
Wabariki viongozi wake.....
Hekima umoja na amani......
Mungu ibariki...
Tanzania na watu wake....
Wabariki na watoto wa TANZANIA.....
 
simba na simba lazima waendane.. I still adore ur lioness voice. I am a lion:glasses-nerdy:

mamaaaa mbona kama swaga zako naanza kuzielewa mkuu??
Mungu nisaidie nisichepuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…