Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu tupo wachache waaminifu
hyo alama ni ipi?
Teh Teh umefikiri nini?
hahahahhahaha iko hivi .....kawaida wanafunzi wenye ulemavu wa kusikia(viziwi sio jina rasmi) huwatambua walimu,wanafunzi na watu wengine sio kwa majina bali ni kwa alama ambazo wao wenyewe wanaamua kuwapa,na io alama inatokana sehemu ya mwili wako ambayo ni ya kipekee au inaonekana waziwazi kama vile kitambi,kuwa na nywele ndefu,masikio makubwa,pua nk......sasa pata picha kwa bwana dimondo hali ipoje
mwanamke makini lazima awe mwizitabia za wanawake wezi ndo huwaga hvo..
Dada umepote sana! Mzima lakini?
Niu niuee mahaba niuee!kwenye joto nipepeee ,
Ukichoka jilaze kifuani,vumilia mabaybeee
tupatacho kidogo ahueniiii
woooo woo woo woooo!hiki kisiki cha mpingo cha mpingoooo!
wooo woo woo acha mwenzenu nicheke japo nina pengooo@maboso
Kama kweli Zary anaweza kuwa mkweli dai ni wa ngp kumla???
Iwe Bojo! Ninkwenda mpaka kesho! lol. Miss you mtoto mulungi!Mzimza kaka. Majukumu tu yanabana sometimes, uko powa kaka?
eh bwana eenh!
nimependa sauti yako tu..
ahaha ukiisikia live hii sauti utakimbia!!kama ya simba
ahaha ukiisikia live hii sauti utakimbia!!kama ya simba
simba na simba lazima waendane.. I still adore ur lioness voice. I am a lion:glasses-nerdy: