Daaa Diamond ametulia kweli ....
Its the matter of nature Kimbley. Kamwe simba hawezi ku-fall in love kwa fisi! hata mara moja!mamaaaa mbona kama swaga zako naanza kuzielewa mkuu??
Mungu nisaidie nisichepuke
hahahahhahaha iko hivi .....kawaida wanafunzi wenye ulemavu wa kusikia(viziwi sio jina rasmi) huwatambua walimu,wanafunzi na watu wengine sio kwa majina bali ni kwa alama ambazo wao wenyewe wanaamua kuwapa,na io alama inatokana sehemu ya mwili wako ambayo ni ya kipekee au inaonekana waziwazi kama vile kitambi,kuwa na nywele ndefu,masikio makubwa,pua nk......sasa pata picha kwa bwana dimondo hali ipoje
Its the matter of nature Kimbley. Kamwe simba hawezi ku-fall in love kwa fisi! hata mara moja!
Imagine how we are meeting. Its a coincidence, lets use it together!
Katulia kwa sababu domo limemuelemea kwa upana
ahahahahahahaaaa!!we excel shindwa kwa jina la yesu
Iwe Bojo! Ninkwenda mpaka kesho! lol. Miss you mtoto mulungi!
Acha hizo, wewe huyo mwanamke uliyenaye ni wangapi kumla?
Watu wanaangalia real love tu.Hata kama akiwa wa 100 tatizo ni moyo wake unasemaje?
Kama kweli Zary anaweza kuwa mkweli dai ni wa ngp kumla???
Mkuu wife/demu wako ulimkuta bikra?
hahahahhahaha iko hivi .....kawaida wanafunzi wenye ulemavu wa kusikia(viziwi sio jina rasmi) huwatambua walimu,wanafunzi na watu wengine sio kwa majina bali ni kwa alama ambazo wao wenyewe wanaamua kuwapa,na io alama inatokana sehemu ya mwili wako ambayo ni ya kipekee au inaonekana waziwazi kama vile kitambi,kuwa na nywele ndefu,masikio makubwa,pua nk......sasa pata picha kwa bwana dimondo hali ipoje
Wakola kalungi!Exceluna vituko wewe. Mekumiss pia. Saana tu
Ni kichunusi hicho njomba kinaminywa! Halafu kinaumaga!Waona Diamond anavyougulia? Ni jambo la kawaida sana kwa wawili hasa ukiwa na Zari ambaye ana kila dalili ya mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake.
Zari the BOSS Lady akichezea kidevu cha Diamond wakati akihojiwa na Clouds TV pamoja na Clouds FM mapema leo asubuhi