Shemeji yetu naye, mahaba hadi kwenye TV!

Shemeji yetu naye, mahaba hadi kwenye TV!

mamaaaa mbona kama swaga zako naanza kuzielewa mkuu??
Mungu nisaidie nisichepuke
Its the matter of nature Kimbley. Kamwe simba hawezi ku-fall in love kwa fisi! hata mara moja!
Imagine how we are meeting. Its a coincidence, lets use it together!
 
hahahahhahaha iko hivi .....kawaida wanafunzi wenye ulemavu wa kusikia(viziwi sio jina rasmi) huwatambua walimu,wanafunzi na watu wengine sio kwa majina bali ni kwa alama ambazo wao wenyewe wanaamua kuwapa,na io alama inatokana sehemu ya mwili wako ambayo ni ya kipekee au inaonekana waziwazi kama vile kitambi,kuwa na nywele ndefu,masikio makubwa,pua nk......sasa pata picha kwa bwana dimondo hali ipoje

mkuu hukukumbuka kuwauliza wakuoneshe na ya kumtambua platnumz kua ndio msanii mwenye kujituma na mwenye mafanikio? hiyo lazima watakua nayo.
 
mkuu nielewe hata akiwa wanamzungumzia kimafanikio au kivyovyote vile alama wanaoitumia ni hiyo hiyo moja.....period!!!
 
Its the matter of nature Kimbley. Kamwe simba hawezi ku-fall in love kwa fisi! hata mara moja!
Imagine how we are meeting. Its a coincidence, lets use it together!

ahahahahahahaaaa!!we excel shindwa kwa jina la yesu
 
Lazima afanye vile atii !yuko kwenye hostile ground andhihirisha umiliki wake na bwamdogo hajamwangusha mjukuu wa idi amini!
 
Sio mwizi cause zari Ana hela kumzid diamond sasa nashangaa we unayesema zari ni mwizi 😀😀
 
Miss you too Excel!nimeona wangu jinsi wanaume wetu weusi walivyokuwa imara
 
Hawa wawili wanapenda sana kumpandisha presha na kumnyima raha na usingizi yule mwanamke maarufu Tz...
 
hahahahhahaha iko hivi .....kawaida wanafunzi wenye ulemavu wa kusikia(viziwi sio jina rasmi) huwatambua walimu,wanafunzi na watu wengine sio kwa majina bali ni kwa alama ambazo wao wenyewe wanaamua kuwapa,na io alama inatokana sehemu ya mwili wako ambayo ni ya kipekee au inaonekana waziwazi kama vile kitambi,kuwa na nywele ndefu,masikio makubwa,pua nk......sasa pata picha kwa bwana dimondo hali ipoje

Viziwi = watu wenye ulemavu wa kusikia. Uko sahihi. Sio sahihi kuwaita "ma/bubu".
 
15.jpg

Zari the BOSS Lady akichezea kidevu cha Diamond wakati akihojiwa na Clouds TV pamoja na Clouds FM mapema leo asubuhi
Ni kichunusi hicho njomba kinaminywa! Halafu kinaumaga!Waona Diamond anavyougulia? Ni jambo la kawaida sana kwa wawili hasa ukiwa na Zari ambaye ana kila dalili ya mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake.
 
Back
Top Bottom