Shemeji zako wa kiume wakija kukutembelea, siku hiyo usilale na dada yao (Mke Wako). Kalale nao chumba kimoja

Nasema ukweli mbele za mungu mpaka sasa aliemwoa dada yangu tangu siku ya harusi yao nishiriki tena kwa kushinikizwa huwa sipatani nae na hatujawahi onana kuanzia siku ile hadi anamulizaga sista amenikosea nini. Yaani simpendi na sijhi kwa nini hata sitaki kumwona.
Huu mwaka wa 5 tangu waowane. Na nimisikia anakuja home siku hiyo nachelewa makusudi kama siku aliokuja jitambulisha nilisacifi uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo zuri kwa ndoa zinazofanyika hasa kwa heshima. Huu mtindo wa sasa wa shake well before use, umevuruga kila kitu kwenye jamii. Am I really talking!??? (Hivi tutatoka kweli!???)
 
Kwa kusoma heading tu, napinga kwa asilimia zote.

Haiwezekani wale mahali zangu, halafu nisimgegede!! Natakiwa nimgegede mpaka aseme "kaka msaada please, mgegedo huu wa motooo"
 
Kazi kwelikweli. Kwa mtindo huu JPM aondolewe ukomo wa utawala ili akae madarakani miaka buku 5 na kuendelea huko
 
Je,wakati nipo nao bar au kumbi yoyote ya starehe,hasa ukizingatia umri wetu unaendana,hivyo hata stori hufanana

Je naweza ng'oa mlupo mbele yao
 
Hili sikubaliani nalo, mimi shemeji yangu ntamuacha sebuleni hata kama tunaangalia mpira halftime ninazama chumbani napiga kimoja ninarudi kuangalia
 
Hiyo mahari umelipa shingapi wewe guluguja wa Tanganyika?

Anachozungumza mtoa mada ni kuhusu kujenga ustahimilivu kati yako na mashemeji.

Ni common decency tu. Nidhamu ya kawaida kabisa!

Hata kuoa hujaoa wewe. Umenyoa viduku hapo unatikisa makalio unadhani mwisho wa dunia ni chato!

Learn to be a decent human being! Itakusaidia.
 
Hakuna kitu kama hicho, heri wasije kabisa, boma yangu, mke wangu halafu nipangiwe nilale wapi na nani??!! Ujinga kabisa..
 
Unataka jamaa yako huyo awe decent all the while unamfurumuishia maneno mazito mazito utadhani uji wa madereva wa makatapila!???
 

Paragraph ya uzalendo iko wapi?
 
Duh JF balaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…