Shemejio akija hivi utamjibu nini?

Shemejio akija hivi utamjibu nini?

We mmeo hujamchunguza? Sema ukweli.

Xpin nilianzia pale bnilipoanza naye ya nyuma huwa anayasema mwenyewe bila kuulizwa na hata akiyasema I hardly remember them next ten minutes. Ya nini kijipaishia presha bure? Huwa nahesabu kuwa yalikuwa ya kale so hayana haja ya kuyafuatilia na isitoshe everbody has his/her past. Y ujihangaishe na ya kale? Matokeo yake sasa ndo haya unagundua alikuwa anamegwa na mdogo au kaka yako nawe ushamuoa utafanyaje sasa?
 
Mtazamo poa sana dadangu. Kamata tano ya nguvu.
Ukweli ni kua m'kianza kuulizana ya kale, n'do kwishnei hio relationship.
 
Je, huyo bwana yeye hakuwahi kumega vibinti vya watu kabla ya kuoa???? Jibu zruri kwake ni kwamba sijawahi kulala na mkeo hata siku moja. Na kama kuna siku nililala na mtu ambaye sasa ni mkeo, wakati huo hakuwa mkeo, alikuwa Miss...... siyo Mrs..YOU. Halafu unamzaba kibao cha KELB.
 
Mimi ningemwambia mara zote ulizowahi kumkwaza, ajihesabie mwenyewe..
 
Hello! first kama ni mimi nitamuuliza the reason behind these and pia nitamueleza ukweli maana msema kweli mpenzi wa mungu,na c rahisi anipandishie sana coz mara ya kwanza mimi ndo nilikuwa namiliki....thanx
 
Swali gumu kweli lakini nitajikaza tu, nitamjibu sijawahi kulala na mkeo. Kwani kama nililala naye kabla ya kuoana basi hakuwa mke wake, hivyo basi nikisema sijawahi kulala na mkeo nitakuwa sijakosea!!!! Sijawahi Kulala na Mkeo na Naomba uniheshimu na kuniuliza hili umenikosea heshima yangu!

Hili ndo jibu sahihi na bora zaidi, tena la kistaarabu sana. Hata hivyo vijana wanapokaribia kuoana ni vema kuambiana ukweli. Story hii inaonesha kuwa hawa watatu walikuwa wanafahamiana sana. So, demu alipaswa kumwambia jamaa kuwa huyu rafiki 'shemejio' alikuwa mpenzi wangu.

Pia ni vema sana kuwa mbali na vijana wanaooana au waliooana karibuni. Huyu jamaa alipaswa kutokuwa na uhusiano wa karibu na yule demu pamoja na mume wake. Ni vigumu kuamini kuwa wapenzi wa siku nyingi, wanaweza kuachana jumla kwa amani. Kuna uwezekano mkubwa wa jamaa kuwa alikuwa anaendelea kumega kimya kimya au kuna siku angemega tu kwani bado walikuwa karibu kimawasiliano.
 
Nadhani mlikuwa mshamaliza kula na kunywa..kwasababu that is the right time to leave! Huenda alikuwa anafuata maneno ya wahenga.."Akufukuzaye hakwambii toka!"
 
mie ningemuuliza hivi, huyo mkeo ulimkuta bikra na kama sio ushawafata wote waliomlamba na kuwauliza the same qn kwamba wamemlala mara ngapi?
..Carmel, unajua huyo jamaa ameshaambiwa kuwa jamaa alikuwa anakamua mke wake huko nyuma. So hakuna haja ya kumficha kitu. Unapiga tu hesabu za haraka kama ifuatavyo:

Assume kwa wiki unamega mara 4, mwaka una wiki 52 so 52x4 = 208
assume jamaa amekaa na demu 4 years x 208 = 832. Ukishampa jibu hilo unanyanyuka na kuondoka....Kesi zingine hazikuhusu!
 
Nakupa mji. Arusha. Kama ni story ya kweli Tuambie sasa wewe ulimjibu nini...
 
Ningemjibu sikumbuki ni mara ngapi ila kipimo ni idadi ya magoli yanawoweza kujaza kindoo kidogo cha lita 10, akafe mbele huko na presha.

Yaani Burn umeniangusha kwa kicheko hapa ati akafe mbele na mapresha ya kujitakia !!!!!
 
..Carmel, unajua huyo jamaa ameshaambiwa kuwa jamaa alikuwa anakamua mke wake huko nyuma. So hakuna haja ya kumficha kitu. Unapiga tu hesabu za haraka kama ifuatavyo:

Assume kwa wiki unamega mara 4, mwaka una wiki 52 so 52x4 = 208
assume jamaa amekaa na demu 4 years x 208 = 832. Ukishampa jibu hilo unanyanyuka na kuondoka....Kesi zingine hazikuhusu!

mmm laligeni we ndio bingwa hiyo hesabu duh!!!!!!! hii 2010 ina mambo!!
 
Wakubwa asanteni nimesoma majibu hadi yamenitosha. Kama nilivyosema leo kaulizwa huyu, pengine iko siku na mimi nikaulizwa kitu kama hiko, nashukuru nina cha kujibu sasa.
 
Mwenzenu hayo yaliwahi kunikuta though the story was a bit different from this one. Kweli ukubwa jalala!
 
Ningemjibu sikumbuki ni mara ngapi ila kipimo ni idadi ya magoli yanawoweza kujaza kindoo kidogo cha lita 10, akafe mbele huko na presha.
aha....burn unaumiza kaka......................naunga mkono hoja
 
Jamani mhusika wa hii story si mimi, ni kwamba imenivutia tu nikaikopi hapa ili nipate pia mawazo yenu, maana leo ni kwa huyu pengine kesho inaweza kuwa wewe. Kisa chenyewe mhusika kakieleza kama ifuatavyo:

Kuna siku mume wa demu wangu wa zamani aliwahi kuniita tukutane mahali ana jambo la kujadili nami. Bahati nzuri tunafahamiana kiasi kwani wakati anamchumbia huyo demu bado nilikuwa nae, tulikuwa chuoni na mambo yangu yalikuwa hayajawa na msimamo, kwa hiyo demu aliponieleza kuna mtu kaonesha interest nimpe msimamo wangu, tukakubaliana aendelee nae. Hata hivyo hakuwa amemwambia tuna uhusiano, kwa hiyo jamaa akawa ananiita "shemeji". Tukakubaliana na yule msichana kuwa tuwe kaka na dada, na tumeendelea hivyo hadi leo. Basi hiyo siku jamaa alivyoniita (ilishapita miaka 4 na walikuwa na mtoto), kwa kuwa hatukuwa tumepanga lolote, "chale" likanicheza nikampigia "dada" simu, akanijibu hana habari kuwa mwenzie ana kikao nami, nikajua kuna mtego. Nimefika pa kukutania nikamkuta yuko peke yake, keshaagiza nyama choma na bia, tukaendelea. Akiwa ameshalamba bia nne za fastafasta (haikuwa tabia yake, nadhani alikuwa anaondoa nishai), akaanza kunihoji kipolisi, nimwambie ati mkewe nilishamlala mara ngapi?

Kama ni wewe ungemjibu nini "shemejio" huyo?
ikiwa mimi namchenjia kwani sitaki kujidharirisha ila cha muhimu nitamwambia yaliyopita si ndwele tugange yajayo.............
 
akiniuliza hilo swali ntamwabia kwanza akachukue vipimo vya presha kabla sijamwambia ili niwe na uhakika kuwa yupo safi kuhimili mikiki na maumivu ya majibu.............najua hatahangaika kufanaya hivyo nami nitasepa kiaina.........naamini mpaka hapo atakuwa kesha nipata.
 
Back
Top Bottom