Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Hivi huwa mnajisumbua kuchunguza vya zamani vya kazi gani? Vinawasaidiaga nini kwani? Mie mnanibore
We mmeo hujamchunguza? Sema ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huwa mnajisumbua kuchunguza vya zamani vya kazi gani? Vinawasaidiaga nini kwani? Mie mnanibore
We mmeo hujamchunguza? Sema ukweli.
Xpin nilianzia pale bnilipoanza naye ya nyuma huwa anayasema mwenyewe bila kuulizwa na hata akiyasema I hardly remember them next ten minutes. Ya nini kijipaishia presha bure? Huwa nahesabu kuwa yalikuwa ya kale so hayana haja ya kuyafuatilia na isitoshe everbody has his/her past. Y ujihangaishe na ya kale? Matokeo yake sasa ndo haya unagundua alikuwa anamegwa na mdogo au kaka yako nawe ushamuoa utafanyaje sasa?
Swali gumu kweli lakini nitajikaza tu, nitamjibu sijawahi kulala na mkeo. Kwani kama nililala naye kabla ya kuoana basi hakuwa mke wake, hivyo basi nikisema sijawahi kulala na mkeo nitakuwa sijakosea!!!! Sijawahi Kulala na Mkeo na Naomba uniheshimu na kuniuliza hili umenikosea heshima yangu!
..Carmel, unajua huyo jamaa ameshaambiwa kuwa jamaa alikuwa anakamua mke wake huko nyuma. So hakuna haja ya kumficha kitu. Unapiga tu hesabu za haraka kama ifuatavyo:mie ningemuuliza hivi, huyo mkeo ulimkuta bikra na kama sio ushawafata wote waliomlamba na kuwauliza the same qn kwamba wamemlala mara ngapi?
Ningemjibu sikumbuki ni mara ngapi ila kipimo ni idadi ya magoli yanawoweza kujaza kindoo kidogo cha lita 10, akafe mbele huko na presha.
..Carmel, unajua huyo jamaa ameshaambiwa kuwa jamaa alikuwa anakamua mke wake huko nyuma. So hakuna haja ya kumficha kitu. Unapiga tu hesabu za haraka kama ifuatavyo:
Assume kwa wiki unamega mara 4, mwaka una wiki 52 so 52x4 = 208
assume jamaa amekaa na demu 4 years x 208 = 832. Ukishampa jibu hilo unanyanyuka na kuondoka....Kesi zingine hazikuhusu!
Wakubwa asanteni nimesoma majibu hadi yamenitosha. Kama nilivyosema leo kaulizwa huyu, pengine iko siku na mimi nikaulizwa kitu kama hiko, nashukuru nina cha kujibu sasa.
aha....burn unaumiza kaka......................naunga mkono hojaNingemjibu sikumbuki ni mara ngapi ila kipimo ni idadi ya magoli yanawoweza kujaza kindoo kidogo cha lita 10, akafe mbele huko na presha.
ikiwa mimi namchenjia kwani sitaki kujidharirisha ila cha muhimu nitamwambia yaliyopita si ndwele tugange yajayo.............Jamani mhusika wa hii story si mimi, ni kwamba imenivutia tu nikaikopi hapa ili nipate pia mawazo yenu, maana leo ni kwa huyu pengine kesho inaweza kuwa wewe. Kisa chenyewe mhusika kakieleza kama ifuatavyo:
Kuna siku mume wa demu wangu wa zamani aliwahi kuniita tukutane mahali ana jambo la kujadili nami. Bahati nzuri tunafahamiana kiasi kwani wakati anamchumbia huyo demu bado nilikuwa nae, tulikuwa chuoni na mambo yangu yalikuwa hayajawa na msimamo, kwa hiyo demu aliponieleza kuna mtu kaonesha interest nimpe msimamo wangu, tukakubaliana aendelee nae. Hata hivyo hakuwa amemwambia tuna uhusiano, kwa hiyo jamaa akawa ananiita "shemeji". Tukakubaliana na yule msichana kuwa tuwe kaka na dada, na tumeendelea hivyo hadi leo. Basi hiyo siku jamaa alivyoniita (ilishapita miaka 4 na walikuwa na mtoto), kwa kuwa hatukuwa tumepanga lolote, "chale" likanicheza nikampigia "dada" simu, akanijibu hana habari kuwa mwenzie ana kikao nami, nikajua kuna mtego. Nimefika pa kukutania nikamkuta yuko peke yake, keshaagiza nyama choma na bia, tukaendelea. Akiwa ameshalamba bia nne za fastafasta (haikuwa tabia yake, nadhani alikuwa anaondoa nishai), akaanza kunihoji kipolisi, nimwambie ati mkewe nilishamlala mara ngapi?
Kama ni wewe ungemjibu nini "shemejio" huyo?
akiniuliza hilo swali ntamwabia kwanza akachukue vipimo vya presha kabla sijamwambia ili niwe na uhakika kuwa yupo safi kuhimili mikiki na maumivu ya majibu.............najua hatahangaika kufanaya hivyo nami nitasepa kiaina.........naamini mpaka hapo atakuwa kesha nipata.Jamani mhusika wa hii story si mimi, ni kwamba imenivutia tu nikaikopi hapa ili nipate pia mawazo yenu, maana leo ni kwa huyu pengine kesho inaweza kuwa wewe. Kisa chenyewe mhusika kakieleza kama ifuatavyo: