Shemsa Mohamed: Chagueni CCM kwa Maendeleo, Amani na Ustawi wa Tanzania

Shemsa Mohamed: Chagueni CCM kwa Maendeleo, Amani na Ustawi wa Tanzania

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

SHEMSA MOHAMMED: CHAGUENI CCM KWA MAENDELEO, AMANI NA USTAWI WA TANZANIA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shamsa Mohammed ameendelea na Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 katika Wilaya ya Busega na kuwasihi wananchi wapenda maendeleo kuwaunga mkono viongozi wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi.

Shemsa Mohamed amesema hayo Katika mikutano ya kampeni iliyofanyika tarehe 22 Novemba 2024 Kata ya Badugu na Lamadi Wilaya ya Busega wakati akiwaombea kura wagombea wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Unaotarajiwa Kufanyika tarehe 27 Novemba 2024.

"Chama Cha Mapinduzi kimefanikisha mambo makubwa ndani ya Mkoa wa Simiyu na katika Taifa letu la Tanzania kwa ujumla. Tumejivunia mafanikio yaliyopatikana, na tunajivunia zaidi viongozi wa CCM ambao wameonyesha uwezo wa kipekee katika kusimamia maendeleo ya wananchi. Tuna kila sababu ya kuendelea kuunga mkono viongozi hawa. Nia tunayo, sababu tunazo, uwezo tunao, na maarifa tunayo ya kuhakikisha maendeleo yanapatikana kwa kila mwananchi!" - Shemsa Mohamed

"Wananchi wapenzi, chagueni viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili tuendelee kusimamia maendeleo yetu, ufanisi wa kazi, na ustawi wa jamii yetu. Kwa kushirikiana, tunaweza kutimiza malengo yetu na kuhakikisha usalama, maendeleo endelevu, na mafanikio kwa vizazi vijavyo." Amesema, Shemsa Mohamed

"Ili tuweze kuunga mkono juhudi za Mama yetu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kuhakikisha kwamba maendeleo yanaendelea kwa kasi katika Mkoa wetu wa Simiyu na nchi yetu kwa ujumla, Wewe Baba, Mama, Bibi, Kaka, Dada naomba tarehe 27 Novemba 2024, mapema kabisa, chagua viongozi wa Chama Cha Mapinduzi.

Chagueni CCM, chagueni maendeleo, chagueni ustawi, chagueni amani.

Imetolewa na Idara ya Siasa na Uenezi, Mkoa wa Simiyu.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.41 (2).jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.41 (2).jpeg
    286.3 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.45.jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.45.jpeg
    236.6 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.49.00.jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.49.00.jpeg
    468.3 KB · Views: 5
  • WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.57.jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.57.jpeg
    570.7 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.55.jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.55.jpeg
    167.4 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.49.15 (1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.49.15 (1).jpeg
    517.3 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.49.14.jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.49.14.jpeg
    438.6 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.49.13.jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.49.13.jpeg
    654.7 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.49.06 (1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.49.06 (1).jpeg
    631.8 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.49.02 (1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.49.02 (1).jpeg
    432.3 KB · Views: 5
  • WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.55.jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.55.jpeg
    167.4 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.51.jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.51.jpeg
    576.7 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.55 (1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.55 (1).jpeg
    295.8 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.53.jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.53.jpeg
    448.1 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.45.jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.45.jpeg
    236.6 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.41 (1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-23 at 04.48.41 (1).jpeg
    298.3 KB · Views: 3
Back
Top Bottom