Sheng pasua kichwa: Mbogi Genje- Kidungi

Sheng pasua kichwa: Mbogi Genje- Kidungi

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Hardcore Gengetone. Mbogi ni genje, eti wananauwo ngumi mbwegze ni mahead bad. 😀 Dah, hii genre ya muziki imeanza kuwa serious lakini hii sheng hardcore itawapita wengi kwa mbaaaliii. Enjoy, na kichwa kikiuma kwasababu ya kupambana kuelewa lugha meza panadol. 😁
 
Ila kuna gengetone zingine ambazo zimetuliaaa na zipo on point pia. Cris Kaiga- Zimenice. Big up to this guy! Dem moja wawileee, na matusker mapileee! Zangu zimenice. 😎
 
Hardcore Gengetone. Mbogi ni genje, eti wananauwo ngumi mbwegze ni mahead bad. 😀 Dah, hii genre ya muziki imeanza kuwa serious lakini hii sheng hardcore itawapita wengi kwa mbaaaliii. Enjoy, na kichwa kikiuma kwasababu ya kupambana kuelewa lugha meza panadol. 😁

Nimekubali umri umeenda na rasmi naaga haya madude ya sheng, siamini ni mimi naachwa kapa sielewi yanayosemwa hapo ilhali nilivyokuwa mnoma enzi za ujana wangu, kitaani tulikua tunatiririka sheng hadi wazazi wanabaki wametushangaa.
Dah vijana bana, halafu hii ndio taswira ya vijana kubuni maneno yao, nenda hata Zanzibar, Dar, Arusha, Nairobi, Eldoret, Kampala, Kigali yaani tu basi.

Japo hawa madogo kwenye huu wimbo full gangsta hadi wamenitia kiwewe.
 
Nimekubali nimezeeka na rasmi naaga haya madude ya sheng, siamini ni mimi naachwa kapa sielewi yanayosemwa hapo ilhali nilivyokuwa mnoma enzi za ujana wangu, kitaani tulikua tunatiririka sheng hadi wazazi wanabaki wametushangaa.
Dah vijana bana, halafu hii ndio taswira ya vijana kubuni maneno yao, nenda hata Zanzibar, Dar, Arusha, Nairobi, Eldoret, Kampala, Kigali yaani tu basi.

Japo hawa madogo kwenye huu wimbo full gangsta hadi wamenitia kiwewe.
[emoji1][emoji1][emoji1] Tunakang'a kila ngite(wanawafyeka mahaters), mazing tunapiga tu baroda(madem wanachangamkiwa mboko). Sheng za 35-60, Umoja-Innercore, nilikuwa mkazi wa hizo areacode, Savannah, zamani kidogo. Naona bado nipo hehe. 😀 Point yao ilikuwa kutokelezea kigangster maanake hata jina la wimbo kidungi ni ile ambayo kwa sheng old skul huwa wanaiita bunde/mtoo. 😁 Ila kwao haina hata haja ya kuigiza, inakuja naturally. [emoji1] Wana flow kali lakini, na beat pia imeua.
 
Ng'ora mbogi ka uko na OB
Jaribu mbogi ujue si dikwara Wakikwara tunasnadi kimangoto
Mangoto tulipiga finamonto
Backstreet ukirenga unabaki
Riang' zetu kuwadunga kwa mandaki [emoji1] Kali sana, hii sheng hata madingilai zangu wa Arachuga watasema ni kichina. 😀
 
[Intro: Smady Tingz]
Utageuzwa kichungi
Kila zing amejidaisha kidungi
Ground, nare, utageuzwa kichungi (Yo)

[Verse 1: Smady Tingz]
Hiyo riang' yenyu ya kusaka title (Title)
Heri nikamedi, hata na ki-Ital (Ss-ss!)
Siwezi mind uki-choose kuwa rival
Juu Militan amekuja na ki-rifle
Mandaki zao tunapiga mosheki
Juu walikataanga kutukatia keki
Mkidai, mkakuje na mavedi
Tutakuwa zabe tukisetingi mahedi (Ss! Ss! Ss!)
Mkipona manangos si tunadungaga mangive
Jaza full clip, juu nimefika mayibe
Tukisnadi, tunakang'a kila ngite
Tuko shughuli, hatusare hadi manjiche
Wali-ring, mtakula ma-viding
Juu hamjui vile si husakanga vushying
Si ndio wale wazing, Senke tuko jing
Tuki-load magazine, utabaki tu kwa scene

[Verse 2: Guzman]
Mi nadai nyi mangwete msonge huko kando
Juu mi ndio mtambo na nacheza kama Rambo
Nawakata kama mango, kuwarusha kwa mtaro
Na ka una mambo, we mrazi kula vako (Mrazi kula vako)
Mi namada kama Vandetta
Na nitafanya mtaniteta
Nyi ni mateka juu nishawateka
Na ni kidungi ndio mi nachekesha (Ha-ha!)
Gunman tunakang'a, kang'a
Wale wote tunajua ni warazi

[Verse 3: Smady Tingz]
Kwa warosho, mafala wanaivisha
We jichoche ndio buda ukapita
Ni kunare, utapiganishwa tisa
Na ukichachisha, kuna vile utabakishwa
Vibe Genje ndio riang'
Ukisleki utapata mashashola zime-land
Mr Man, mistari zikigwan
Nazindua maga, kishashola naki-mash
Tumebonda na ma-lugz
Leta ufala, utabakishwa na ma-thugs
Do di maths, tunasaka-saka shagz
One way kama fisi, sina time ya ku-reverse (Smady Tingz)

[Verse 4: Militan]
Mazing ni kupiga tu baroda
Piga riu tukukate hadi mocha
Piga tapo, mrazi achachishe
Piga chang-li, renga kwa mrota
Babylon wanadai tu Portmore
Wananauwo ngumi mbwegze ni ma-headbad
Hatuwadungi na ukapi, ni mangiso
Leta bloodclaat, tukupige kidi
Tiang' bani, akibonga ni abugde
Babylon wakimuok, tuko nayo
Ng'ora mbogi ka uko na OB
Jaribu mbogi ujue si dikwara
Wakikwara tunasnadi kimangoto
Mangoto tulipiga finamonto
Backstreet ukirenga unabaki
Riang' zetu, kuwadunga kwa mandaki

[Outro: Smady Tingz]
Hizi beat tunazisunda kwa ass
Tunawakulisha dust na manyonyo wame-burst
Round Two, tunakuja kuwa-brush
Rhyme zao, kuna vile zime-rust
 
Ng'ora mbogi ka uko na OB
Jaribu mbogi ujue si dikwara Wakikwara tunasnadi kimangoto
Mangoto tulipiga finamonto
Backstreet ukirenga unabaki
Riang' zetu kuwadunga kwa mandaki
Hapa ata vile nililelewa Eastlands chenye najua tu ni :
Kupiga tapo- snatch
Mbogi-crew
Genje- noma/illest
Kidungi- itoka au bunduki
Lagunya- Lugz (shoes)
 
Hapa ata vile nililelewa Eastlands chenye najua tu ni :
Kupiga tapo- snatch
Mbogi-crew
Genje- noma/illest
Kidungi- itoka au bunduki
Lagunya- Lugz (shoes)
Ng'ora- Ignore/kujitia hamnazo. Kwara- Kukataa. Riang- Swag/style. Kusnadi- kukasirika. Kumedi- kuwaza sana(under influence). Mavedi- Polisi. Wazing- Wanoma. Mangwete- Mafala/washamba. Abudge- Lugha ya vitisho. Mangiso- marisasi.
 
Ng'ora- Ignore/kujitia hamnazo. Kwara- Kukataa. Riang- Swag/style. Kusnadi- kukasirika. Kumedi- kuwaza sana(under influence). Mavedi- Polisi. Wazing- Wanoma. Mangwete- Mafala/washamba.
You are so good at it! 😂
Niliacha Polisi wakiitwa "Manjege"
 
You are so good at it! Niliacha Polisi wakiitwa "Manjege"
Kisha wakaitwa mambang'a. 😀 Ndio maana sheng haiwezi kuwa lugha standard, au iwe tishio kwa kiswahili sanifu. Haipo constant hata kidogo.
 
Nimekubali umri umeenda na rasmi naaga haya madude ya sheng, siamini ni mimi naachwa kapa sielewi yanayosemwa hapo ilhali nilivyokuwa mnoma enzi za ujana wangu, kitaani tulikua tunatiririka sheng hadi wazazi wanabaki wametushangaa.
Dah vijana bana, halafu hii ndio taswira ya vijana kubuni maneno yao, nenda hata Zanzibar, Dar, Arusha, Nairobi, Eldoret, Kampala, Kigali yaani tu basi.

Japo hawa madogo kwenye huu wimbo full gangsta hadi wamenitia kiwewe.
Mie huwa naona kizungu zungu kabisaa
 
Huo upumbavu ubaki hukohuko kajiado

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni upumbavu kwako ila Sheng ndio lugha ambayo vijana wengi sana wanaitumia kuwalisiana mijini nchini Kenya. Tena kwa kiasi kikubwa mno jijini Nairobi. Hadi kampuni kubwa kama Safaricom, KCB, Equity wanatumia lugha hiyo hiyo kutangaza biashara na huduma zao. Ili waweze kufikisha ujumbe wao kwa wateja wao kwa lugha ambayo wana'relate' nayo.
 
Back
Top Bottom