mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Wanyama hawa ambao ni haramu hata kibibilia wamesadikiwa kuchochea janga hili.
Pia wanamkakati wa kuongeza list zaidi ya wanyama mwitu,kufugwa na watambaao.
Tabia ya kulakula nyama za mwitu akiwemo paka miaka 17 iliyopita ilipelekea vifo vya watu zaidi ya 8000
Source: South China Morning Post
====
My take:
Bibilia inasisitiza tulipaswa kula Mbogamboga za kondeni, ila baada ya gharika nyama ikawa sehemu ya chakula cha mwanadamu.
Pia sio kila nyama Mungu aliweka mipaka hapohapo baada ya gharika na kufafanua ktk kitabu cha mambo ya walawi.
Lakini mafundisho ya Wasabato yanaonya kuwa Bado ktk siku hizi za mwisho nyama yoyote inaweza isiwe chakula salama kwa mwanadamu. (labda nyama halali uliyonaufahamu nayo).
Hatari kubwa inayosema ni kutiririka kwa magonjwa ya wanyama kuingia kwa wanadamu. Hiki ndicho tunakiona kila kukicha.
Tunaweza kudharau, kupuuzia na kutojali maelekezo ya Mungu lakini hatuwezi kukwepa matokeo ya kutojali na kupuuza maelekezo hyo.