Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Nchi nyingi watu wanakula tu, mfano Congo wanakula nyani, ngedere, mbwa, nkSasa si mpaka tufikie huko it means ni nje ya uwezo wetu ila wanyama wote hawa tuliojaaliwa mtu anaacha anaenda kula Paka/Popo? Big NO, acha Corona iwatie akili.