Mimi naweza kuwa professor wako, wewe jibweteke hapo ukisubiria source.Source yako please utuoe takwimu au ni kijiwe cha Wanywa Visungura wa Jf ?
Vichwa kamasi ni vingi sana TanzaniaIsrael kuna Waarabu wengi sana, 21% ya population ya Israel ni Waarabu Waislamu.