Sherehe na maandano makubwa ya Mashoga Duniani yamefanyika Tel Aviv Israel baada ya kusimama kwa miaka miwili

Kwa akili za kawaida tu, hivi hawa ndio wataweza ground invasion kweli?
Gaza , Israel kwenye ground wamefeli vibaya sana..
Na IDF wanafahamu kabisa Hamas ni wazuri ardhinini wana morali sana ya vita kuliko askari wao, hivyo kitu pekee ni kupiga makombora kila eneo..

Ndege kama F35, Apache, F16 ama F15 n.k hata uncle T anaiendesha vizuri tu na analipua makombora... ukija kwenye zile drones kama MQ-9 Reaper hata mtoto wa miaka 10 akielekezwa anaiendesha vizuri sana...

Hakuna u specia wowote kwa jeshi la Israel zaidi ya kumtegemea US kwa kia kitu...

Imagine mtu kama uncle T ama Juma lokole anaingia ground war.. hapo utapata picha ya jeshi la IDF
 
1) Na huu ndo unabii wa kitakachotokea Israeli kuelekea kurudi kwa YESU, wenye masikio na wasikie:

"Theluthi mbili za watu katika nchi zitaangamizwa; ni theluthi moja tu itakayosalimika.

Theluthi hiyo moja itakayosalia, nitaijaribu na kuitakasa, kama mtu asafishavyo fedha, naam, kama ijaribiwavyo dhahabu. Hapo wao wataniomba mimi, nami nitawajibu. Nitasema, ‘Hawa ni watu wangu’, nao watasema, ‘Mwenyezi-Mungu, ndiye Mungu wetu.’”

Tazama, siku ya ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu inakuja. Siku hiyo, enyi watu wa Yerusalemu, mali yenu itagawanywa mbele ya macho yenu.

Mwenyezi-Mungu atayakusanya mataifa yote ili kuushambulia mji wa Yerusalemu. Mji utatekwa, nyumba zenu zitatekwa nyara, na wanawake wenu watanajisiwa. Nusu ya wakazi wa mji watapelekwa uhamishoni, lakini nusu itakayosalia haitachukuliwa nje ya mji.

Kisha Mwenyezi-Mungu atatoka na kuyapiga vita mataifa hayo, kama afanyavyo daima siku za vita.

Siku hiyo, atasimama kwenye mlima wa mizeituni ulio mashariki ya mji wa Yerusalemu. Mlima huo utagawanywa sehemu mbili na bonde pana sana litatokea toka mashariki hadi magharibi. Nusu moja itaelekea kaskazini na nusu nyingine kusini.

Nyinyi mtakimbia kupitia bonde hilo, katikati ya milima miwili ya Mwenyezi-Mungu. Mtakimbia kama wazee wenu walivyokimbia tetemeko la ardhi wakati wa utawala wa mfalme Uzia wa Yuda. Kisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, atakuja na watakatifu wote pamoja naye."

Zekaria.13.8-9,14.1-5.BHN


2)
Wayahudi wateule tunaowatambua sisi ni hawa 👇🏾 wanaojua Masihi amekaribia kuja, wanaojua Vita ya kumaliza vita zote Vita ya Gogu wa Magogu imekaribia 🔥🔥🔥🔥🔥🔥


View: https://youtu.be/1nWnUH4fRvY?si=01WBV3M9nX4HUcwa


View: https://youtu.be/aaXfN3Og4ns?si=GGbA7KeI7bUUhyCh


3) Who is Israel?

Post in thread 'Hivi kwanini walokole huwa wakali unapokuwa against na nchi ya Israel?' Hivi kwanini walokole huwa wakali unapokuwa against na nchi ya Israel?


JESUS IS LORD!

MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS ! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Echolima1
 
Hivi Hawa nao ni special group? Maana mambo Yao binafsi ya kufukuana iweje yawe sherehe?
 
Wakabatizwe sasa.
 

Attachments

  • Screenshot_20241005_010653_WhatsAppBusiness.jpg
    129 KB · Views: 18
Unahangaika bure tu..
Hizi picha unazoweka ni unahangaika tu na hazina impact yeyote, sawa na wahuni flani wavae nguo za ma budha halafu wapigwe picha wakinyonyana ndimi halafu useme Mabudha ni mashoga..

Nikupe zoezomoja tafuta picha LGBTQ wapo Iran barabarani... wameandamana, kama ilivyo Israel na ulinzi juu wanapewa..
 
Echolima1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…