Sherehe ya 40 ya Mtoto wa Zamaradi Mketema

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Leo ni arobaini ya mtoto wa Zamaradi Mketema. Kaalika mastaa mbalimbali kwenye siku hii special ya kijana wake King Salah.

Mastaa nao wamejitahidi kupendeza kwa kuvaa kinaijeria.


Mama Salah na King Salah mwenyewe.


Dada Jojo a.k.a Mamdogo wa Taifa


Mrs. Mapenzi amesemwa sana kwa kuvaa vazi hili


Miss Tanzania 2006, Wema Abraham Sepetu


Jopo la wasindikizaji


Muigizaji Davina


Mama Janjaro


Angelina Jolie wa Bongo

Leo hadi Queen Darleen kapendeza.

 
Naangalia hapa Naona lengo la part ni kupata vijizawadi,mastaa wana akili sana
Sasa jeee. Tena sio zawadi ni pesa. Maana anajua watashindana kumtunza
 
Kwa style hii tutailamu bure ccm, umaskini hauwezi kuisha kama nchi ina raia wengi wajinga kiasi hiki wanaondekeza mambo ya kipuuzi kama haya.
Hapo mwenye sherehe ana target yake yakurudisha gharama za sherehe na faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…