Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Kuna watu wanaojifanya wanaijua dini wanataka kutupotosha hapa kwamba ya dini ya dini ipi? Kule Mbeya kwa wakristo watupu rungwe wanafanya matambiko ya arobaini, ukija huku pwani walikojaa waislamu nako wanafanya arobaini, ukienda kwa wasio na dini nao wanafanya arobaini. Ukifukunyua kwenye vitabu vya dini huioni. Hebu tupeni hizo aya mtufundishe arobaini ya dini ipoje?Kweli kabisa arobaini haihusiani na mambo ya dini