Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wakiumwa wanataka tuwachangie gharama za matibabu wapumbavu sana hawa.Nashangaa kweli sherehe ya kiimani kuwa ya kidunia. Sema kapigia mahesabu hela hapo mkuu maana anajua mastaa wanapenda sifa watashindana kumtunza wakati yeye anarudisha gharama zake
Kuna wakati naunga mkono mitandao iliyojaa wapuuzi kama Instagram izimwe tu kunusuru hiki kizazi kilichojaa watu wapuuzi.