Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Kuna watu wanaojifanya wanaijua dini wanataka kutupotosha hapa kwamba ya dini ya dini ipi? Kule Mbeya kwa wakristo watupu rungwe wanafanya matambiko ya arobaini, ukija huku pwani walikojaa waislamu nako wanafanya arobaini, ukienda kwa wasio na dini nao wanafanya arobaini. Ukifukunyua kwenye vitabu vya dini huioni. Hebu tupeni hizo aya mtufundishe arobaini ya dini ipoje?Kweli kabisa arobaini haihusiani na mambo ya dini
Mama nani???Ndio ni mzuri ana mvuto wa asili kwa kweli halafu mrefu kama mimi.....
Wish Mama J angekuwa na urefu kama wake....
Aliyeshona gauni ya shamsa hatouona ufalme wa munguKama anataka kupaa
Hivi zamaradi huu mjengo kajenga kwa msaada wa nani jamaniNyumba yake nzuri. ..Ina nafasi ya kutosha
Wakibanwa ata wiki haikati wanatoa account watu wawachangie, Mavazi huficha mengiHao sio masikini.
Mama JMama nani???
Dini ni nini Kwani mkuu? Je unataka kusema ni uislamu na Ukiristo tu ndio dini?Kuna watu wanaojifanya wanaijua dini wanataka kutupotosha hapa kwamba ya dini ya dini ipi? Kule Mbeya kwa wakristo watupu rungwe wanafanya matambiko ya arobaini, ukija huku pwani walikojaa waislamu nako wanafanya arobaini, ukienda kwa wasio na dini nao wanafanya arobaini. Ukifukunyua kwenye vitabu vya dini huioni. Hebu tupeni hizo aya mtufundishe arobaini ya dini ipoje?
Sponsor n wengi mjinHivi zamaradi huu mjengo kajenga kwa msaada wa nani jamani
Duh ngoja na Mimi nitafute sponsor nna usongo na huo mjengo mweeeehSponsor n wengi mjin
Jikazee jikazee kipato + sponsor+loanDuh ngoja na Mimi nitafute sponsor nna usongo na huo mjengo mweeeeh
Aqiqa? Sasa hicho kinachoitwa arobaini ndiyo aqiqah? Unajua kiutaratibu ni siku ya ngapi baada ya mtoto kuzaliwa? Huo utaratibu wa arobaini siyo aqiqa ni utaratibu wa wapagani wazee wa mila kule kijijini na yote yanayofanywa ni yale ya kimila ndiyo maana hata muda wa kufanya hauna justification kiufupi ukienda nchi za kiislamu ukaona hiyo aqiqa inavyofanywa na hiyo arobaini ni mbingu na ardhi.Unajua kuhusu Aqiqa?
Hana mvuto hata kidogo.....Huyu Zamaradi ni mweusi (rangi nzuri) lakini anapenda sana aonekane mweupe, sijui kwa nini.
Wadada warefu halafu wakiwa na chura wanakuwa wazuri yaani acha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole