Umeielewa kweli hiyo comment hapo juu?Sio kweli ...Zama been always dark na ana ngozi nzuri...angependa weupe angejikoboa muda sana
Mlidhani bila Ruge Zama hatoshine??..u were wrong
Field Marshall wenu hadi leo kashindwa kuchagua mmoja amtulize...kama ye kweli Mwanaume AOEE
huyo chausiku kapiga kushida chake wala hana habaree[/QUOTE][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][hhuQUOTE="Mzigua90, post: 27718776, member: 248688"]Nashangaa kweli sherehe ya kiimani kuwa ya kidunia. Sema kapigia mahesabu hela hapo mkuu maana anajua mastaa wanapenda sifa watashindana kumtunza wakati yeye anarudisha gharama zake
Utumbo umekatwa kwelii body la hamisa litaua watu [emoji23][emoji23][emoji23]Yaani shape kama yotee
Sio kila unayemwona wewe hana maana basi watu wote wanamwona hivyo..kuna watu wanamwona wema mtu wa maana lakini wengine wanamwona ni muharibifu wa jamiiHakuna cha usiku wala mchana... sijaona la maana analafanya
Sio kweli ...Zama been always dark na ana ngozi nzuri...angependa weupe angejikoboa muda sana
Mlidhani bila Ruge Zama hatoshine??..u were wrong
Field Marshall wenu hadi leo kashindwa kuchagua mmoja amtulize...kama ye kweli Mwanaume AOEE
Halafu anakaa na mume mwingine...
Umeongea kitaalam zaidiShe has a low self esteem baada ya kuchezewa sana na Ruge.
sanaaa ktk kitu anachojuta ni hicho. Maana amesemwa mnoooAnajuta kuvaa vile nahisi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kavaa kengele.....
real mbona sijasikiaMamyyyy kariiibu sanaaaaa shunie kala ban alichambana tena na pugi wote wamekula ban
Shamsa sio tu kaharibu bali kachukizaaaaaaaa..........sijui nani alimshonea hiyo NguoShamsa kaharibu [emoji23][emoji23]
Matola umenifanya nicheke wakati nina mshono mmbichi hata nyuzi sijatoa tumboni. Imebidi nishike tumbo kunusuru kufumukaHawa ndio maskini wa kutupwa kama huelewi, maisha yao ya Instagram ni maigizo tu, siku hizi wanakunywa konyagi wanasingizia wanakata mafuta kumbe urongo mtupu ni hali ngumu.
Pole sana Mungu akufanyie uponyaji wa haraka Amen.Matola umenifanya nicheke wakati nina mshono mmbichi hata nyuzi sijatoa tumboni. Imebidi nishike tumbo kunusuru kufumuka