Sherehe ya 40 ya Mtoto wa Zamaradi Mketema

Sherehe ya 40 ya Mtoto wa Zamaradi Mketema

Sio kweli ...Zama been always dark na ana ngozi nzuri...angependa weupe angejikoboa muda sana

Mlidhani bila Ruge Zama hatoshine??..u were wrong
Field Marshall wenu hadi leo kashindwa kuchagua mmoja amtulize...kama ye kweli Mwanaume AOEE
Umeielewa kweli hiyo comment hapo juu?
 
[hhuQUOTE="Mzigua90, post: 27718776, member: 248688"]Nashangaa kweli sherehe ya kiimani kuwa ya kidunia. Sema kapigia mahesabu hela hapo mkuu maana anajua mastaa wanapenda sifa watashindana kumtunza wakati yeye anarudisha gharama zake
huyo chausiku kapiga kushida chake wala hana habaree[/QUOTE][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna cha usiku wala mchana... sijaona la maana analafanya
Sio kila unayemwona wewe hana maana basi watu wote wanamwona hivyo..kuna watu wanamwona wema mtu wa maana lakini wengine wanamwona ni muharibifu wa jamii

Kwangu zamaradi ni mtu anayejitambua tofauti na wengi wenye majina hapa bongo
 
Sio kweli ...Zama been always dark na ana ngozi nzuri...angependa weupe angejikoboa muda sana

Mlidhani bila Ruge Zama hatoshine??..u were wrong
Field Marshall wenu hadi leo kashindwa kuchagua mmoja amtulize...kama ye kweli Mwanaume AOEE

Sasa unafikiri kwanini anajichubua kiaina? Zama anajichubua sana tu. mashosti zake kina Wema na Aunt wanamshauri hivyo, muulize tu atakuambia.
 
Hawa ndio maskini wa kutupwa kama huelewi, maisha yao ya Instagram ni maigizo tu, siku hizi wanakunywa konyagi wanasingizia wanakata mafuta kumbe urongo mtupu ni hali ngumu.
Matola umenifanya nicheke wakati nina mshono mmbichi hata nyuzi sijatoa tumboni. Imebidi nishike tumbo kunusuru kufumuka
 
Back
Top Bottom