Sherehe ya 40 ya Mtoto wa Zamaradi Mketema

Sherehe ya 40 ya Mtoto wa Zamaradi Mketema

Kuna watu wanaojifanya wanaijua dini wanataka kutupotosha hapa kwamba ya dini ya dini ipi? Kule Mbeya kwa wakristo watupu rungwe wanafanya matambiko ya arobaini, ukija huku pwani walikojaa waislamu nako wanafanya arobaini, ukienda kwa wasio na dini nao wanafanya arobaini. Ukifukunyua kwenye vitabu vya dini huioni. Hebu tupeni hizo aya mtufundishe arobaini ya dini ipoje?
Hata hayo matambiko ni dini mkuu sema tu waarabu na wazungu walivyoleta uislam na ukristo wakazifanya dini zetu si chochote si lolote hivyo hata hiyo ya zamaradi ni sherehe ya kidini (aina ya matambiko na ndio maana sijawaona masheikh wala maaskofu kwenye hizo picha)....by the way mie sio muislam ila uswahilini tunapokaa tumezoeshwa hasa kwa waislam mtoto akifikisgha 40 wanaitwa watu wa madrasa inapigwa dua na chai na maandazi wengine na mpunga kidogo siku inapita.

Labda swali la kuuliza hapa kama sio sherehe ya kidini na ni sherehe ya kawaida ya kutoa mtoto, kwanini mpaka amtoe siku ya 40 na si 30 ama 20 ama siku 60 kabisa
 
Ndio maana jamaa nimuliza anajua maana ya dini? Sasa kama ni Mila zetu ndio useme sio dini.. Mzungu kavuruga kweli akili zetu , Ni ujunga tu kuona kila kilichofanywa na Babu zetu kukipuuza
 
Nashangaa kweli sherehe ya kiimani kuwa ya kidunia. Sema kapigia mahesabu hela hapo mkuu maana anajua mastaa wanapenda sifa watashindana kumtunza wakati yeye anarudisha gharama zake

Kwa watanzania walivyo wajinga, kama lengo la mwenye sherehe alikutimia (kurudisha hela zake na faida) atailaumu serikali ya CCM huku akiungwa mkono na viongozi wa TLS, Zitto, Mbowe, Lema, na wajinga wengine.
 
Eeeh Zama nae labour imempenda
Haswaa huyu Sasa n wa 3

Huyu dem nlikua namkubali sana
Ila aliniboa alivomchongea mwenzake
Dinna akatoka clouds

Ndo nkaamin papaa inanguvu
Kweli haswaaa

Mtoto wa 3 wanaume tofauti tofauti, hatareeee mama cha wote.
 
Punguzeni upambe tafuteni kazi za kuwaingizia vipato vyenu, mtabeba mapochi ya wanawake wenzenu mpaka lini?
We Ruge nini sio kwa povu hili

Kumfanikishi shughuli mwenzako haimaanishi huna kazi ya kipato...ndo ushoga huo kubebeana pochi ..km huna wa kukubebea wallet haituhusuu utajijjjjjjjj
 
She has a low self esteem baada ya kuchezewa sana na Ruge.
Sio kweli ...Zama been always dark na ana ngozi nzuri...angependa weupe angejikoboa muda sana

Mlidhani bila Ruge Zama hatoshine??..u were wrong
Field Marshall wenu hadi leo kashindwa kuchagua mmoja amtulize...kama ye kweli Mwanaume AOEE
 
Back
Top Bottom