Sherehe ya kumbukumbu ya kifo cha Sokoine ilikuwa ya kiserikali au familia?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Serikali ina bajeti iloyotengwa ya kufanya sherehe za kumbukumbu za vifo kwa viongozi wa taifa waliofariki ?

Ni viongozi gani waliofariki ambao wanakidhi vigezo vya kufanyiwa kumbukumbu za kiserikali kwa bajeti ya serikali?

Wizara gani inasimamia ufanyikaji wa hizo kumbukumbu?
 
Hii Shughuli huwa inafanyika Dakawa kila Mwaka

Kawaida Sana 40 ni Hitma ndio wamefanyia nyumbani Kwake 🐼
 
Serikali ina bajeti iloyotengwa ya kufanya sherehe za kumbukumbu za vifo kwa viongozi wa taifa waliofariki ?

Ni viongozi gani waliofariki ambao wanakidhi vigezo vya kufanyiwa kumbukumbu za kiserikali kwa bajeti ya serikali?

Wizara gani inasimamia ufanyikaji wa hizo kumbukumbu?
Viongozi waliojitoa kwa hali ya kutukuka tu wanaenziwa na wizara inayohusika na mafao ya viongozi ya Jennifer Mhagama ndio yenye dhima
 
Hali ya kutukuka inapamwaje? Vigezo vyake ni vipi?
 
Serikali ina bajeti iloyotengwa ya kufanya sherehe za kumbukumbu za vifo kwa viongozi wa taifa waliofariki ?

Ni viongozi gani waliofariki ambao wanakidhi vigezo vya kufanyiwa kumbukumbu za kiserikali kwa bajeti ya serikali?

Wizara gani inasimamia ufanyikaji wa hizo kumbukumbu?
Mi ninge shauri wale viongozi waliofia kazini ndiyo waenziwe kitaifa, na wale walio staafu wakumbukwe kifamilia!!
 
Back
Top Bottom