Kumbe bado mtoto mdogo sana🤣🤣Tokea amefariki ndiyo nimeisikia.
Mzimu wa marehemu unawatesa.
Viongozi waliojitoa kwa hali ya kutukuka tu wanaenziwa na wizara inayohusika na mafao ya viongozi ya Jennifer Mhagama ndio yenye dhimaSerikali ina bajeti iloyotengwa ya kufanya sherehe za kumbukumbu za vifo kwa viongozi wa taifa waliofariki ?
Ni viongozi gani waliofariki ambao wanakidhi vigezo vya kufanyiwa kumbukumbu za kiserikali kwa bajeti ya serikali?
Wizara gani inasimamia ufanyikaji wa hizo kumbukumbu?
Mi ninge shauri wale viongozi waliofia kazini ndiyo waenziwe kitaifa, na wale walio staafu wakumbukwe kifamilia!!Serikali ina bajeti iloyotengwa ya kufanya sherehe za kumbukumbu za vifo kwa viongozi wa taifa waliofariki ?
Ni viongozi gani waliofariki ambao wanakidhi vigezo vya kufanyiwa kumbukumbu za kiserikali kwa bajeti ya serikali?
Wizara gani inasimamia ufanyikaji wa hizo kumbukumbu?