Elections 2010 Sherehe za kumuapisha Rais JK - Uhuru stadium DSM

Elections 2010 Sherehe za kumuapisha Rais JK - Uhuru stadium DSM

kikwete kaanzia kuhutubia yake ya kwanza kwenye kipindi hiki kipya na kaanza kwa kusema

watanzania Oyeee
 
niko siriaz mjue....halafu sijui wenzangu mnaona ninachokiona mimi kwenye hii shughuli nzima?...kuna vitu kama vi3 ambavyo sivielewi


Ni Colabo ya Marlaw na Nakaaya Preta! ooops! I mean ni wimbo wa rais may be...si uliona unapigwa wanaposhusha bendera yake? Japo umekaa kama ule wanaopiga wakishusha jeneza/miili ya wakuu kaburini
 
I'm worried - hil jua na joto la Dar es Salaam Kikwete anaweza kwenda "down"!
 
Umechanganya kidogo hapo!.Kiarabu huwa kinatoka kulia kwenda kushoto.
Una mawazo mazuri lakini siku zote huvai vizuri.

asante mkuu jua kali hapa uwanjani
 
ameahidi kutotoa hotuba ndefu ila anaahidi hotuba ndefu atatoa atakapozindua ubunge na hapo ndio atatoa muelekeo wa serikali yake

pia anashukuru pia kwa kumaliza uchaguzi salama
 
anawashukuru wananchi kwa kuwapa CCM ushindi wa kishindo na imekuja kwa mambo haya :


kua CCM ikp imara

kazi zilizofanywa

Na amani iliopo


na anaahidi hatawaangusha wananchi
 
kikwete anashukuru kwa ushindi wa kishindo .....kishindo kipi? cha kuanguka meza au kuvunjika sahani?
 
Wana JF naomba mnijulishe kama kuna Ofisi za Chadema UK na ziko wapi nikachukue kadi kabisa. Jamaa zangu wengi hapa ni wale wa kujikomba CCM na sitaki kuwauliza.
 
kikwete kaanzia kuhutubia yake ya kwanza kwenye kipindi hiki kipya na kaanza kwa kusema

watanzania Oyeee

Nimeshangaa pia. Nilitegemea aseme CCM Hoyeeee. Sijawahi kusikia kiongozi akisema Watanzania Oyeeeee. Lakini anawapongeza mashabiki wa CCM kwa ushindi mkubwa kabisa. asema Watu wanakiamini chama cha mapinduzi. asema Atafanya kama alivyofanya 2005-2010
 
keshamuiga Obama sasa watanzania furahini 🙁

namshukuru mke wangu mpenzi bi salma ....
 
amefurahi kuapata zaidi ya robo tatu ya wabunge na kuwataka wana ccm watembee vifua mbele kwano bado wananchi wanakipenda chama cha CCm

na kazi iliopo mbele yao ni kutimiza ahadi walizoahidi


na anasema shukrani zake hazitotimia ikiwa hatamshikuru Dr Mohammed Gharib Bilal na mama salma Kikwete


anamfagilia hapa mama kikwete na anawafagilia wanawe na wajukuu zake
 
Back
Top Bottom