Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,511
hajui anasema nini huyu!wanashukuriwa wapnzani kwa kuwachangamsha ccm! Hahaha yaani slaa kamchangamsha tu kikwete ......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hajui anasema nini huyu!wanashukuriwa wapnzani kwa kuwachangamsha ccm! Hahaha yaani slaa kamchangamsha tu kikwete ......
ok - tunaenda kupata "lunch" na jk - see you and
mungu mbariki baba_enock na familia yake
mungu ibariki jamii forum
mungu ibariki tanzania
uchaguzi is now officially over - tuendelee na premier league!
pole pastor, mapenzi yako hayakutimia, labda mpango wa kumwaga damu ukifanikiwa.
firstson!
Na hao security guards wake Rz1 wanalipwa na nani?? kama si pesa yetu sie walala hoi?? Je treatment yake ina tofauti gani na ya Baba yake?? Au ndo ukiwa Rais basi na familia yako yooooote hata wale waliooa na kuolewa wanalindwa kama wewe? Mi cjui sana siasa naomba nieleweshweIv huyu Ridhiwani ni nani!!Nimemuona anashuka kwenye gari ya hatari anafunguliwa mlango huku akiwa na security,najiuliza mimi na Riz1 tuna tofauti gani!!Kweli hapa tumepata uozo tu jamaa ajajifunza chochote kwenye haya matokeo,Wananchi tufunge Mkwiji coz khali ni mbaya bora tutokako kuliko tuendako.
Iv huyu Ridhiwani ni nani!!Nimemuona anashuka kwenye gari ya hatari anafunguliwa mlango huku akiwa na security,najiuliza mimi na Riz1 tuna tofauti gani!!Kweli hapa tumepata uozo tu jamaa ajajifunza chochote kwenye haya matokeo,Wananchi tufunge Mkwiji coz khali ni mbaya bora tutokako kuliko tuendako.
wewe na vibaraka wa shetani Slaa, jaribuni kufanya fujo.
Mods please fuatilieni mwenendo wa Burn he is absolutely out of order.
usimuonee mbona wengi pia wafatiliwe nyendo zao wanamtukana JK
au kwa kua Slaa ni mtukufu hafai kuguswa ?